Jah bless
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 277
- 462
Huko garda ulishaenda chifu?G4s wanavitu vingi mpaka uwe na wadhamini wawili na wawe wanasheria viongozi was dini au mjumbe na vyeti ukaige mhuri wa mahakama nafasi zipo mshahara laki2 nilienda hivi karibuni Ila nataka niende garda