Makampuni ya simu Acheni kutufanya watoto

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,368
8,453
Kumekuwa na tabia ya makampuni ya simu kutufanya sisi watanzania ni mbumbumbu sana utasikia mwaka huu tunatoa gawio la shilingi bilioni 15 kwa wateja wetu kishabusnaishia kupokea 1400 sasa mimi buku mia nne ya nini
Kama kweli mnataka kutoa gawio toeni mzigo wa maana kwa watu wachache kila baada ya miezi 3 au 6 sio haya matusi ya bukubuku
 
Nafikiri gawio hutolewa kulingana na wingi wa pesa kwenye account yako me kuna kipindi nilikuwa na kama mil3 hivi kwenye tigopesa nikapata gawio la laki na sitini na kitu hivi

juz nilikuwa na elf50 wakanipa gawio buku mia 2 sijui
 
Si imeandikwa kwenye Vitabu vitakatifu, kuwa aliyenacho anaongezewa. Sasa wewe unaweka mia tano kwa juma, wenzio wanafanya miamala ya milioni tano kwa siku na gawio lao linakuwa hivyo!
 
bora wewe buku mia nne mie nmeambiwa 200 kias ambacho hata kwenye miamala hakiwez kutoka
 
Kumekuwa na tabia ya makampuni ya simu kutufanya sisi watanzania ni mbumbumbu sana utasikia mwaka huu tunatoa gawio la shilingi bilioni 15 kwa wateja wetu kishabusnaishia kupokea 1400 sasa mimi buku mia nne ya nini
Kama kweli mnataka kutoa gawio toeni mzigo wa maana kwa watu wachache kila baada ya miezi 3 au 6 sio haya matusi ya bukubuku
Hili so shida. Napata tabu ninaponunua kifurushi unaambiwa umepata dakika 40, lakini ukifuatilia utatumia dakika 30 unaambiwa kifurushi kimeisha. Zao bahili, zangu wanadhulumu.
 
Nafikiri gawio hutolewa kulingana na wingi wa pesa kwenye account yako me kuna kipindi nilikuwa na kama mil3 hivi kwenye tigopesa nikapata gawio la laki na sitini na kitu hivi

juz nilikuwa na elf50 wakanipa gawio buku mia 2 sijui
Pesa kazi yake kuzunguka unaweza kwa mwezi ukafanya miamala hata ya miln 10 lakini huwezi ukaikuta ina salio hata la laki yaani pesa inazunguka... Wewe labda mwenzio
 
Mimi kwa mwezi nafanya miamala si chini ya 5-7miln gawio eti buku mia nne si bora wangeongezea kwa mama zao
 
Yani Umepata buku mia4 Unalalama
Mi nmepata gawio Mia32 shilling Hata bando nusu hupati Tena Usiku Wa manane
Npo kimya Nmenyuti Tu

Npo zangu Mgodini Natafuta madini
 
Sasa wewe mwaka mzima umefanya transaction ya 20, 000/ unataka gawio la laki nane..? Hata hiyo buku mia nne wamekupendelea tu
 
Kumekuwa na tabia ya makampuni ya simu kutufanya sisi watanzania ni mbumbumbu sana utasikia mwaka huu tunatoa gawio la shilingi bilioni 15 kwa wateja wetu kishabusnaishia kupokea 1400 sasa mimi buku mia nne ya nini
Kama kweli mnataka kutoa gawio toeni mzigo wa maana kwa watu wachache kila baada ya miezi 3 au 6 sio haya matusi ya bukubuku
Weee wacha tugawane hizo hizo buku buku, mtu apewe milion 100 peke yake mtaani tutakunywa maji?
 
Acheni ujinga nye tafuteni kilicho chenu, unalalama wakati umepewa swadaqa ya bure!.
 
Nafikiri gawio hutolewa kulingana na wingi wa pesa kwenye account yako me kuna kipindi nilikuwa na kama mil3 hivi kwenye tigopesa nikapata gawio la laki na sitini na kitu hivi

juz nilikuwa na elf50 wakanipa gawio buku mia 2 sijui
Kwani gawio linahusiana na kiasi kilichoko ktk simu au ni uwingi wa miamala unayoifanya?
 
Acheni ujinga nye tafuteni kilicho chenu, unalalama wakati umepewa swadaqa ya bure!.

Hizo sio za bure mkuu, umeshapiga hesabu unaibiwa ngapi?. Nakupa mfamo rahisi.
Wanahuunga na huduma ambayo hujaitaka. ukipiga huduma kwa wateja wamakupa namba za kujitoa ila pesa hawarudishi.
Fanya 200/300 *1000000 == na ngapi? kisha urudi na maneno yako ya kua ni bure. Wanakufanya kama hauna akili/ kilaza mkuu amka.
 
Kumekuwa na tabia ya makampuni ya simu kutufanya sisi watanzania ni mbumbumbu sana utasikia mwaka huu tunatoa gawio la shilingi bilioni 15 kwa wateja wetu kishabusnaishia kupokea 1400 sasa mimi buku mia nne ya nini
Kama kweli mnataka kutoa gawio toeni mzigo wa maana kwa watu wachache kila baada ya miezi 3 au 6 sio haya matusi ya bukubuku
unataka gawio 15 billion unahisa kwenye hayo makampuni au??
 
Me mwenyewe sijawaelewa
Kwenye mpesa nlikua na elf 73- gawio nkatapa 500

Tigo nlikua na elf 30- gawio nkapata elf 6200

Airtel nlikua na laki 375 gawio elf 7600

Na miamala nafanya kwenye namba zote.
Mwenye ujuzi Anisaidie kulifafanua hili
 
Back
Top Bottom