Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 341
- 369
Siwezi pigwa chini na wala siishi kwa mikopo π pengine kama wewe vp umewahi dhariririshwa nnSerikali imezifuta nyingi nyingi, na vijana kibao waliokua huko wamepigwa chini..
Vipi wewe ni mmoja wao?
Hapa ndipo walipofeli.Jambo muhimu ni makampuni kufata taratibu za kisheria.
Na wakifata raia hawalipi πHapa ndipo walipofeli.
Sio kuishi kwa mikopo, kuajiriwa na hizo kampuni.Siwezi pigwa chini na wala siishi kwa mikopo π pengine kama wewe vp umewahi dhariririshwa nn
Kwani shida iko wapi au unataka niajiri naajirika na yeyote hata ningeajiriwa na BOT kuzifungia pia ningefanya kazi hiyo kwani kuna shido au unataka niajiri?Sio kuishi kwa mikopo, kuajiriwa na hizo kampuni.
Bila shaka wewe ulikua muajiriwa wa hizo hela fasta, mkopo wako and the likes
Kinamna gani mkuu? raia ndio wanawatapeli wao na si wao wanatapeli raia au kuwatafuta wale watu wa mkopaji ndu unaita utapeli??? Ukipinda lazima uone unatapeliwa labda suluhisho kuongeza muda wa marejesho maana mda wao mfupi kulinganisha na kiasi basi ila mbongo alipe bila shuruti ni wachache sana hasa wengi wafanya business zao na wengi wanakwambia sometimes zinawasaidia lakini wachukua mikopo ya kubeti, ulevi, kuonga na njaa ahhh watalia kutapeliwa daily π sijui kivipi?Tatizo hawapo serious na kazi zao utapeli imekuwa ni moja ya mkopo
Shida kwa sasa inabaki kwako kwa kutokua na ajira ila hapo mwanzo ninyi vijana mlitweza sana utu wa watu.Kwani shida iko wapi au unataka niajiri naajirika na yeyote hata ningeajiriwa na BOT kuzifungia pia ningefanya kazi hiyo kwani kuna shido au unataka niajiri?
Watalipwaje kwa riba kubwa hivyo ndani ya siku chache?Na wakifata raia hawalipi π
Hapo ndo walipofeli kwenye sikuWatalipwaje kwa riba kubwa hivyo ndani ya siku chache?
Kwani nimekuomba ajira mzee π wewe mwenyewe msakatonge sina ajira ila sitwezwi huo utu unasema wewe wala sisumbuani na makampuni ya mikopo mtandaoni,kwani unadhani ntakufa njaa, make unaongea kama walikuumiza sana tafuta hela wacha kopakopa na kushindwa lipa wenzio wanaenjoy na makampuni wenye hela wewe njaa unakopa ukale na kubeti lazima wakutweze fatilia wanaolipa wanalalamikia riba na siku si kutwezwa masikini ndo wanatwezwa kama wewe.Shida kwa sasa inabaki kwako kwa kutokua na ajira ila hapo mwanzo ninyi vijana mlitweza sana utu wa watu.
Siku ni chache sana na riba ni mzigoHapo ndo walipofeli kwenye siku
Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.Kwani nimekuomba ajira mzee π wewe mwenyewe msakatonge sina ajira ila sitwezwi huo utu unasema wewe wala sisumbuani na makampuni ya mikopo mtandaoni,kwani unadhani ntakufa njaa, make unaongea kama walikuumiza sana tafuta hela wacha kopakopa na kushindwa lipa wenzio wanaenjoy na makampuni wenye hela wewe njaa unakopa ukale na kubeti lazima wakutweze fatilia wanaolipa wanalalamikia riba na siku si kutwezwa masikini ndo wanatwezwa kama wewe.
Kila mtu sio choko kama mdogo ako wala wewe sijatusi watu nimetoa mawazo yangu ila wewe na akili zako za kirofa kwa kuwa umeathirika na huko na kudharirishwa na madeni sugu basi unamawazo ya kichawi tu maisha hayafanani tafuta yako kwanza afu zingatia ya watu. Njaa zako usinletee hapa nimehitaji positive feedbacks sio uchawi wako huo na bichwa hilo.Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..
Angalia usije kua tapeli kijana.
Sema akili yako ndogo sana madogo wanaofanya kazi huko ni matapeli kivipi au ndo umekalili matapeli kama wewe ufanyavyo kazi za watu na wao ndo wanafanya kazi za watu vile vile ila wewe tapeli kwa bahati mbaya limekukuta jambo unarejesha mzigo wa lawama nadhani kwanza akili yako hata iwezo wa kufikiri ni mdogo sana.Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..
Angalia usije kua tapeli kijana.
Sema nimepitia baadhi ya uzi unazocomment nishaelewa shida ipo wap π ni vijana wenye mchango mdogo sana katika Taifa.Kuna dogo nae alikua kama wewe kwenye hizo kampuni uchwara, akitusi watu kama ufanyavyo wewe.
Sasa siku kampuni imefunga na BOT, kumbembe kikaanza, hana mafao, hana akiba. Kwakua kazi yake inaendana sana na utapeli basi akajitupa huko ..
Angalia usije kua tapeli kijana.
Nalipa kodi wewe hulipi kodi halafu unasema nina mchango mdogo, makinika kijana.Sema nimepitia baadhi ya uzi unazocomment nishaelewa shida ipo wap π ni vijana wenye mchango mdogo sana katika Taifa.