Nimesoma kwenye magazeti kuwa Mhe. Makamu wa Rais,Mama yetu Samia atamuakilisha Mhe. Rais wetu kwenye Mkutano huo. Mimi binafsi nina mawazo tofauti kuhusiana na uwakilishi huo. Mimi ninashauri Mhe. Rais ahudhurie hicho kikao binafsi kutokana na sababu zifuatazo:-
Huu ni ushauri wangu na hata siku za usoni anaweza kuufanyia kazi.
- Kwanza juzi ndiyo kachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, ni vema akajumuika na wenzake ili wamfahamu.
- Pale watahudhuria wawakilishi kutoka mashirika mengi ya Kimataifa, ni fursa adimu kukutana na viongozi kama hawa na kuweza kupata hata msaada.
- Ni fursa kubwa kujitambulisha mbele ya wenzake na kuitambuisha TANZANIA.
- Kigali siyo mbali na hivyo suala la gharama na uchovu kwa Mhe.Rais haupo.
ww akili yako bado inaamini kwny kupata msaada, msaada wa nini?? aende kwny mkutano sababu wapo watu wa kuwaomba msaada..? ushauri wako c mzr. acha kufikiria habari za msaada, jifunze kujitegemea na kuwa huru kufanya yale unaona yana faida kwako na kwa jamii yako! misaada haiwezi kukutatulia changamoto zako!!!Nimesoma kwenye magazeti kuwa Mhe. Makamu wa Rais,Mama yetu Samia atamuakilisha Mhe. Rais wetu kwenye Mkutano huo. Mimi binafsi nina mawazo tofauti kuhusiana na uwakilishi huo. Mimi ninashauri Mhe. Rais ahudhurie hicho kikao binafsi kutokana na sababu zifuatazo:-
Huu ni ushauri wangu na hata siku za usoni anaweza kuufanyia kazi.
- Kwanza juzi ndiyo kachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, ni vema akajumuika na wenzake ili wamfahamu.
- Pale watahudhuria wawakilishi kutoka mashirika mengi ya Kimataifa, ni fursa adimu kukutana na viongozi kama hawa na kuweza kupata hata msaada.
- Ni fursa kubwa kujitambulisha mbele ya wenzake na kuitambuisha TANZANIA.
- Kigali siyo mbali na hivyo suala la gharama na uchovu kwa Mhe.Rais haupo.
Nimesoma kwenye magazeti kuwa Mhe. Makamu wa Rais,Mama yetu Samia atamuakilisha Mhe. Rais wetu kwenye Mkutano huo. Mimi binafsi nina mawazo tofauti kuhusiana na uwakilishi huo. Mimi ninashauri Mhe. Rais ahudhurie hicho kikao binafsi kutokana na sababu zifuatazo:-
Huu ni ushauri wangu na hata siku za usoni anaweza kuufanyia kazi.
- Kwanza juzi ndiyo kachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, ni vema akajumuika na wenzake ili wamfahamu.
- Pale watahudhuria wawakilishi kutoka mashirika mengi ya Kimataifa, ni fursa adimu kukutana na viongozi kama hawa na kuweza kupata hata msaada.
- Ni fursa kubwa kujitambulisha mbele ya wenzake na kuitambuisha TANZANIA.
- Kigali siyo mbali na hivyo suala la gharama na uchovu kwa Mhe.Rais haupo.
- Kwanza juzi ndiyo kachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, ni vema akajumuika na wenzake ili wamfahamu.
- Pale watahudhuria wawakilishi kutoka mashirika mengi ya Kimataifa, ni fursa adimu kukutana na viongozi kama hawa na kuweza kupata hata msaada.
Huwa siwaelewi mnasimamia nini?Tulishashauri alipokosa mkutano wa AU kule Addis Ababa mwezi January.
Hayupo strategic kimataifa.Yupoyupo tu na siamini kama lugha ndio Tatizo hapana mimi siamini hivyo kabisa bali kuna tatizo kubwa zaidi la uelewa katika siasa za kimataifa.
He's too Local !
Eti Majukumu.Kwani hana wasaidizi?Kwa nini anawakimbia wenzake?Huwa siwaelewi mnasimamia nini?
Nikuulize swali , hivi ni lazima kwenda? Na kama sio lazima je anaruhusiwa kutuma mwakilishi?
Wakati mwingine elimu zenu haziwasaidii
Eti. He is too local ?
Nina was was sana na elimu zenu na kushindwa kutambua Majukumu ya Rais