Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), akizungumza katika kipindi cha Medani za siasa amesema Tanzania ni nchi ya demokrasia inayofuata mifumo ya vyama vingi vya siasa kwa mujibu wa Katiba hivyo hakuna anayeweza kwenda kinyume nalo akisisitiza haruhusiwi mtu yeyote katika nchi hii kusema hakuna uchaguzi kwani uchaguzi upo na ni halali