Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Labda zile za zamani. Enzi hizi za Magu hayo kweli?Boarding pass zinajazwa kwa wino wa mkono!! Hakuna tiketi kama unapandia uwanjani. Ukienda ofisi zao pale arusha wanasema ndege imejaa, nenda uwanjani ubahatishe kama yupo ambaye hatasafiri. Ukifika kuna nafasi kibao. Unalipa, hupewi tiketi! Pesa zinaingia mifukoni mwao. Wizi wizi wizi. Ushahidi ninao.
Mbowe.Nani atapanda ndege zinazotishia wateja?...
Hao wahusika ni wazembe tu! KIla mtu sasa hivi amekuwa akiulizia ndege hizo ziwe hewani. Usidhalau maana KIA, MWanza na Mbeya ni viwanja amabvyo passengers wanalia sana. Fare + tax imefikia milioni kwa return tkt!Arusha walikua wanapita na hiace wanatangaza maeneo ya ngarenaro kuhimiza watu wapande hayo madege kipindi yameingia. Pathetic. Ngarnaa??
Hao jamaa nilipowaona huku ngarnaa nkajua washafeli. Afu wameweka zile spika km za kuuzia dawa za panya (japo zao kubwa zaidi) ndo wanatangazia.......Teh teh! Mkuu nimecheka sana... Sasa ngalimi hata lami ya kubahatisha ndio watu wapande ndege?
Ni kujifaragua tu. Tunajua mashirika ya binafsi yaliyo hewani mbona yanalaza watu airport? Hakuna hata mmoja anayetoa huduma ya bure kwenda KIA si arusha wala moshi. Kuna watu binafsi na min-bus za kiwango cha daladala ndo zinazsomba watu kwenda KIA, sasa leo analaani kwa kuwa ni ATCL!Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....
Ahsante mkuu, ngoja tuone kama ataushughulikia mara nyingi huwa wanapuuza mawazo yetu huku kwenye mitandao.Upo sahihi mkuu.. Nadhani waziri ataupata ujumbe huu
Serikali walazmishe wafanyakazi wao wanunue nyumba NHC na wawapangishie humo. Kisha wajenge nyumba tupange maana huku mtaani wenye nyumba washenzi sana na mikodi yao.......Hiyo Kauli ya Zanzibar ASP haina mashiko kabisa! Hiii ni national Carrier. Mtumishi wa serikali hana ujanja ni halali kulazimishwa hivyo maana serikali ndo mtoa pesa. Tusipende kuleta theories za ulaya na huko US ambako watu ni ethical na hata private sector yao iko disciplined. Hapa kwetu private ndo watu wa sabotage. Tangu barabarani, reli hadi meli kule L. Victoria.
Sasa hivi hata kwenda KIA au Mwanza return inafikia 1 million! Hiyo ndo private anayotaka serikali itumie?
Bila kulinda shirika tutaishia kuuza ndege nzima kwa hao wanaojiita private.
Nimetoka juzi Mwanza kwa fastjet na boarding pass ilijazwa kwa mkono, iweje ATCL inashupaliwa hivyo? Tuwe waungwana hata kama private wanajaribu kujifagilia sana lakini ndo hao ambao wamelaza watu airport.Boarding pass zinajazwa kwa wino wa mkono!! Hakuna tiketi kama unapandia uwanjani. Ukienda ofisi zao pale arusha wanasema ndege imejaa, nenda uwanjani ubahatishe kama yupo ambaye hatasafiri. Ukifika kuna nafasi kibao. Unalipa, hupewi tiketi! Pesa zinaingia mifukoni mwao. Wizi wizi wizi. Ushahidi ninao.
Yaani nilishangaa sana kuwaona. Mda wenyewe sasa. Ilikua mida ya saa 10 hv jioni. Eti jivunie ndege ya taifa lako.....Seriously????
Kwa nini Atcl nao wasipandishe? Km soko linadai bei kubwa unashusha ili iweje?Hao wahusika ni wazembe tu! KIla mtu sasa hivi amekuwa akiulizia ndege hizo ziwe hewani. Usidhalau maana KIA, MWanza na Mbeya ni viwanja amabvyo passengers wanalia sana. Fare + tax imefikia milioni kwa return tkt!
TUnataka kusafiri na siyo kwenda kujifunza kula raha kwenye ndege. Hawa private tulionao ni buree na sasa wanashindana kupandisha bei.
Mwanza one way imefikia hadi laki 6, Safari ya saa moja na nusu!
Upo Critical Sana Mkuu. Nashukuru pia nimejifunza kitu..Ahsante mkuu, ngoja tuone kama ataushughulikia mara nyingi huwa wanapuuza mawazo yetu huku kwenye mitandao.
Huyu Mheshimiwa si kuna kipindi alikuwa kule wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia ? Hapa ndio alitakiwa atuonyeshe huo ujuzi wake kwa kutatua haya matatizo kisayansi na teknolojia na sio tu kinadharia.
Kuna muda huwa nashindwa kuelewa hawa viongozi wetu tena Maprofessa wakubwa wanaokosa ubunifu kabisa, sikuona ulivyoongeza updates anaposema wafanyakazi wa serikalini wote walazimishwe kusafiri na ndege za ATCL.
Kuna maswali najiuliza:
- Je amefanya uchunguzi wa idadi ya wafanyakazi wa serikalini wanaosafiri kwa siku na kuona kama ndege hizo zitajitosheleza na kutoa huduma kwa ufanisi kwa wafanyakazi wote wa serikalini?
- Je kulazimisha huku kutakuwa na unafuu kwa mtumishi wa serikali na serikali bila kuiathiri ATCL.
- Je nini ni chanzo hasa cha kufanya wasafiri wakimbilie mashirika mengine?
- Inamaana hatuwezi kuyashinda hayo mashirika at their game bila kutumia nguvu ya serikali kulazimisha kupata wateja ?
Ni sawa na kusema wafanyakazi wote wa serikalini walazimishwe kutumia TTCL wakati nikifika tu kimara sipati signal yoyote. Tutapata wateja wengi halafu huduma mbovu, tutakuwa tumeenda mbele au kurudi nyuma?
Wafanye hata basic SWOT (Strengths, Weaknesses, Opportunitues, Threats) analysis kabla ya kutoa matamko.
Ikionekana wanakosa kabisa ubunifu waweke hata competition kwa vijana wabunifu waoneyeshe ni maeneo gani wanaweza kuyaboresha kwa ATCL na mshindi apewe fursa ya kutekeleza hilo pendekezo ana usanifu wake, ninaamini kuna vijana wengi wenye uwezo wa kuleta mabadiliko nchini na wako tu mtaani wanatangatanga.
Naona huelewi maana ya agizo la waziri. Unarukia tu! Jiongeze kidogo tu.Serikali walazmishe wafanyakazi wao wanunue nyumba NHC na wawapangishie humo. Kisha wajenge nyumba tupange maana huku mtaani wenye nyumba washenzi sana na mikodi yao.......
Ngoja kwanza. Unalowaza ni ndoto za alinacha kulazimisha wafanyakazi wa serikali kupanda hiyo midege. Hata wakitaka hivyo, ni wangapi wataotumia zilete faida? Na wale watalii ni sehemu ya wafanyakazi?
Halafu, hadi ndege zinafika hamkua mnajua wateja kina nani?
Mngenunuaga madawati walau yanahitajika SANA SANA SANA. Na madawa. NDEGE? Mmmhhh....... tusubiri tuone!
Si hawafukui makaburi? Wakifatilia vifaa Swissport wafatilie na escrow, Uda, epa, meremeta, NBC, TRL, Kamata, Karadha, orodha haiishi ya upuuziNi kweli prof anachosema
Kwakweli wakati atc inauzwa kwa mara ya kwanza watu hawakujuwa nini wana kiuwa
Kwakwelii tanzania kwanza elimu ya airline
Industry imekufa hakuna watalaam wa airline kwa sasa pia airtanzania haiwezi kupata faida kama airline maana waliuza handling company kitu ambacho dunia nzima hakuna shirika la ndege la nchi ambalo alimiliki handling company leo hii lazima serikali iunde tume kuchunguza vifaa walivyopewa swissport kufanyia kazi walipata kihalali au pia kuhakikisha
Wanaunda upya handling company
Una akili ya kuvukia barabara. Waziri kaona uozo unafanyika alafu we unaleta habari za mbowe hapa. Nenda huko na mbowe wakoMbowe alikua wa kwanza kukimbilia kupanda na akawahi siti ya dirishani,Leo tanapa mnakandia ndege zetu?
Tatizo la kujenga Paa kabla ya MsingiSerikali walazmishe wafanyakazi wao wanunue nyumba NHC na wawapangishie humo. Kisha wajenge nyumba tupange maana huku mtaani wenye nyumba washenzi sana na mikodi yao.......
Ngoja kwanza. Unalowaza ni ndoto za alinacha kulazimisha wafanyakazi wa serikali kupanda hiyo midege. Hata wakitaka hivyo, ni wangapi wataotumia zilete faida? Na wale watalii ni sehemu ya wafanyakazi?
Halafu, hadi ndege zinafika hamkua mnajua wateja kina nani?
Mngenunuaga madawati walau yanahitajika SANA SANA SANA. Na madawa. NDEGE? Mmmhhh....... tusubiri tuone!
Sorry, Uko darasa la ngapi? naogopa kujadili na mtoto wa kindergarten.Kwa nini Atcl nao wasipandishe? Km soko linadai bei kubwa unashusha ili iweje?
Waliambiwa watapandia arusha. Baadae wakaambiwa kia. Kufika huko wakakaa masaa 3 kusubiri bodi member wa NSSF. Ila hakuweka ushahidi wa hata siku ya safari yake so alidanganyaNi kujifaragua tu. Tunajua mashirika ya binafsi yaliyo hewani mbona yanalaza watu airport? Hakuna hata mmoja anayetoa huduma ya bure kwenda KIA si arusha wala moshi. Kuna watu binafsi na min-bus za kiwango cha daladala ndo zinazsomba watu kwenda KIA, sasa leo analaani kwa kuwa ni ATCL!