Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106]Hapana ndugu ukiona hivyo ujue hali imeshaanza kwenda mrama, So wanawahi mapema kurekebisha kabla hali haijafika mrama kwenyewe.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Well saidFalse start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu!
Kwa hiyo mkuu unamaanisha body mpya ila chasis na engine ni zile zile mbovu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haswaaa, wafanyakazi (Chasis) wote ni chuma chakavu; Ndege na bodi ya wakurugenzi ni mpya (Bodi); kweli unategemea ufanisi gani hapo?! Si chasis itavunjikilia mabali na kuiacha Bodi inagalagala porini?!
Mmmh... Conspiracy?
Tunaojadili wengine hata hatujawahi kufija airport.Kinachofanyika kwenye hilo shirika ni kulihujumu,kwahiyo hayo yanayofanyika ni makusudi ili lisimudu kushindana na wale wengine.
Ni bora ungeporomoa matusi ya zamani kuliko haya mapya.False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu!
Ndio maana waziri amewaka Kweli Leo.. Nadhani ujumbe umefika
Wewe!!!Kuwa Mkurugenzi wa ATCL ni sawa na kuchambia bomu
Kuna jamaa yangu aliipanda from Mwanza to Dar.Kuna mtu alileta uzi alisema hatapanda tena hizo ndege, Akisema waliambiwa ndege haiwez kutua arusha so wajigharamie gharama zao kwenda KIA alaf kufika kia wakawekwa 3hours kusibir crappy board members...
Kifupi hizi ndege hazina mwisho mzuri.....