Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Aug 28, 2019 #161 Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,612 Reaction score 138,658 Aug 28, 2019 #162 Deo Corleone said: Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya? Click to expand... Majibu ya haya maswali anayo Mwinyi Zahera! Pale Yanga, yeye ana mamlaka na maamuzi kuliko hata mwenyekiti wa timu.
Deo Corleone said: Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya? Click to expand... Majibu ya haya maswali anayo Mwinyi Zahera! Pale Yanga, yeye ana mamlaka na maamuzi kuliko hata mwenyekiti wa timu.