hakuna mwenye ubavu wa kumwondoa huyo mzee,ccm ni chama cha ajabu sana wanauoga wa kufa mtu hata kwenye vikao vyao ukionekana unapingana na meza kubwa utashughulikiwa,ni hoja gani imewai kuletwa nje ya agenda mtoaji akabaki salama?ukiona hoja imetoka nje ya agenda na ikabarikiwa ujue ilikuwa ni yao ila wanazuga,mfano mwaka jana suala la sita kumvua uanachama.