GE2025 Makamba: wingi wa wanatanga katika mikutano ya Samia ni ishara ya ushindi Oktoba 29

GE2025 Makamba: wingi wa wanatanga katika mikutano ya Samia ni ishara ya ushindi Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
liyekuwa Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mhe. January Makamba ameelezea mapokezi ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga ambapo amesema kuwa wingi wa wanatanga katika Mikutano ya Dkt. Samia ni ishara Tosha itakapofika Oct 29,2025 siku ya uchaguzi ni kwenda kumpa kura Mgombea huyo

Makamba ameyasema hayo Leo Sept 30,2025 Korogwe Tanga kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan

Makamba amesema kuwa wanachama wote wa CCM wanashikamana ili kuhakikisha kuwa Chama kinapata kura nyingi.
 
Huyu anasubiri wa viti maalumu, na uwaziri juu.
Hana shida kabisaa.
 
January anafikiri atarudishwa kwa mlanho wa Uwani. Sana sana watampeleka Vuba kwenda kuxoba prnho la Polepole. Hawamtaki kwenye kinyang'anyiro cha 2030.
 
Back
Top Bottom