Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

Status
Not open for further replies.
makamba alichokisema ni ushauri mzuri tu mtu makini ataufanyia kazi mjinga atapuuza na kuleta majungu
Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam
 
Huyu mzee ndio kazi yake..kuna mara alitaka hata jaribu fundisha wakristu ukristu....kaandika kakitabu kake ka kupotosha naona keshaona watu hawana haja nacho....

Kwanini asiwaambie waislam misikitini aendapo?Sisi huku tunajua.

Bado hataki potea ktk anga za siasa za Bongo?
 
CHADEMA endeeleni kumtetea Makamba! Lakini alichokisema ni Dharau kubwa kwa waislam!
na kama atajitokeza kwenye hadhara na akaruhusu waislam wamulize maswali ya hicho alichokisema naamini atatokwa na povu na kuishia kulia!
 
wewe tulishachoka maneno yako, mbona watoto wako wewe umewagawia ajira kama njugu? Angalia haya ni mambo ya kidunia tu, DINI hazikuletwa kwa ajili ya kuangakia mambo ya kidunia, acha kuchanganya dini na ugamba wenu, urasimu wenu, siasa zenu na porojo zenu, nyinyi mnamtumia karumanzira kwetu sisi MUNGU ATOSHA.
 
Likija swala la umaskini na mambo ya rushwa inatamkwa watz. likija swala la watu wasiosoma huambiwa waislam. kama muislam hakusoma anawezaje kufungisha mikataba mibovu? wapi wapi ngumbaro na Mikataba ya kisheria? Makamba anataka kutwambia wakiristo ndio waliofiksha taifa hapa?

Tobaaaaa
 
CHADEMA endeeleni kumtetea Makamba! Lakini alichokisema ni Dharau kubwa kwa waislam!
na kama atajitokeza kwenye hadhara na akaruhusu waislam wamulize maswali ya hicho alichokisema naamini atatokwa na povu na kuishia kulia!

Cdm inaingiaje
 
Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam!
Nina wasi wasi kama hauna mtindio wa akili! Makamba katoa makavu laivu, watu hamtaki kuukubali ukweli huu ili mbadilike na maisha yaendelee, kazi kulialia tu! Someni!!!!!!!! Msiilaumu NECTA, hii ni taasisi ambayo imeajiri wakristo na waislamu na hivyo itamtendea haki kila mmoja wetu!
 
angalau waislam wengi wapo nje ya system tz inaongoza kwa rushwa, umaskini . hapa jamii ya kiislam hawana LAWAMA maana hawana nafasi katika ujenzi wa taifa hili kwa kuwa hawakusoma.Kesho mh makamba uwalaumu waliosoma (wakiristo) kwanini wanaipeleka nchi yetu katika umaskiini mkubwa?

Hivi kumbe serikali inaongozwa na wakristo?
 
Huyu kilaza apumzike,haona hata aibu kulopoka,hivi utaendelea kutumiwa mpaka lini Mr Joseph makamba.Ndio maana umeondolewa kwenye ukatibu mkuu wa chama kutokana ukilaza wako wa kulopoka lopoka.Nawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.Makamba huyo,unawazidishia waislam hasira,sakata la mwembechai hatuja kusahau.
 
Makamba ameshasomesha wanae kwa kodi zetu wapo ktk laini anatukebehi hao waliosoma mbona nchi masikini wamekisoma niñi Kiki halina plan nenda namibia makamba kawaone waliosoma ucheki barabara mji UPI ktk plan umeme haukatiki maji ya bomba kila nyumba Huyo mzee Hana jipya
 
Wewe acha umbulula, ngoja nikutajia baadhi ya mafisadi ambao ni Waislamu.
1. Baba Riz na mwanae Riz.
2. Rostam.
3. Nazir Karamagi.
4. Hamis Kagasheki, na wengine wengi tu yote hiyo ni mijizi.

Bila kuwashau akina Yusuf Manji, A. Kinana
 
Ndio maana tunaomba mahakama ya kadhi ili nasisi tupate ajira ya kutandika viboko, kuwapiga mawe na kunyonga watu. Hii itatusaidia kuongeza obwe la ajira hapa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hakika wewe sio mmojawapo..
 
Makamba ameshasomesha wanae kwa kodi zetu wapo ktk laini anatukebehi hao waliosoma mbona nchi masikini wamekisoma niñi Kiki halina plan nenda namibia makamba kawaone waliosoma ucheki barabara mji UPI ktk plan umeme haukatiki maji ya bomba kila nyumba Huyo mzee Hana jipya

Umetoka madrasa sasa hivi nini mbona ulichoandika hakieleweki?
 
Samahani kwa nitakaemkwaza kwa kuunganisha quotes nyingi, sina tatizo na kilichosemwa na Makamba kwa kuwa ni haki yake ya kikatiba na mtizamo wake. Hata hivyo ukweli ni kwamba JF members hatuna uvumilivu wa kuchangia mada zinazohusiana na imani za kidini (japo kwa kutajwa tu), ndio maana huwa sipendi kuwepo na hizi mada kwani kuna watu wanapenda kutoka nje ya mada na wana lugha za kuudhi (kama utavyoona kwenye quotes nilizochukua) kitu ambacho si kizuri kwa mustakabari wa Taifa hili. Binafsi nimesoma uislamu kwa kiwango kizuri na nimesoma secular kwa kiwango kizuri vilevile na nimewahi kufanya kazi serikali ya Tanzania kabla ya kutafuta green pastures nje ya nchi(katika idara ambayo imenifanya nijue mambo mengi kuhusiana na masuala ya kikristo/kiislamu kwa Tanzania na nimeweza kuyahifadhi katika nafsi yangu yote, kwa vile nina kiwango kikubwa cha uvumilivu wa kidini). Aidha jambo linaloshangaza, huku nje ya nchi kuna uvumilivu na uhuru mkubwa wa dini ya mtu. Nikitoa mfano halisi, katika Taasisi nayofanyia kazi kuna waislam wasiozidi 20 kati ya wafanyakazi zaidi ya 2500, lakini ofisi imetenga sehemu (chumba) kwa ajili ya waislamu kuswali na "no one questions about that". Lakini hilo likifanywa Tanzania itakuwa ni muhari mkubwa, tukubali tu kuwa Tanzania hatuna uelewa wa kutosha wa ku-handle masuala ya kidini tofauti na hizi nchi ambazo 99%+ ni wasio waislamu.

Japo mimi ndie mleta Mada lakini binafsi nakubaliana na wewe. Nikikupinga while umeandika kitu cha ukweli basi nitakuwa Mnafiki.
Swala la uvumilivu wa Kidini baina ya waumini wa dini hizi mbili kubwa(yaani Wakristo na Waislamu) ni mdogo sana kwa sasa,labda uzungumzie enzi za utawala wa Nyerere na ule wa Mwinyi!

Wengi wetu humu JF tunasukumwa sana kuchangia mada kama hizi KIUDINI na kuacha kuchangia kwa kuandika ukweli wenyewe. Ktk kauli ya Makamba sidhani kama kuna mahala amekosea zaidi sana ametowa Ushauri,na inavyoonekana wachangiaji wengi humu haswa wenye imani ya Kiislamu wanaona kwamba Makamba hakustahili kusema hivyo kwa vile kusema vile anahalalisha (kile kinachosemwa mara zote) kuwa Serikali inawapendelea Wakristo.

Kwa wale wenye imani ya Ukristo wao wanaona kuwa kauli ya Makamba ni sahihi na ameitowa wakati na muda sahihi,kwani upande wa pili (yaani waislamu) wengi wao wamekuwa wakipuuza kupeleka watoto shule na badala yake huwapeleka Madrasa na kubaki kulalamika kwamba serikali inawapendelea Waktisto kitu ambacho sio kweli!!
Hivyo basi nawashauri wote wenye kuchangia hoja hii wasichangie kwa kuwa tu ni Mkristo au Muislamu!! bali tuchangie kwa kuangalia kuwa je aliyoyasema Makamba ni ya kweli? Ushabiki wa Dini tuuweke pembeni.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
 
Nina wasi wasi kama hauna mtindio wa akili! Makamba katoa makavu laivu, watu hamtaki kuukubali ukweli huu ili mbadilike na maisha yaendelee, kazi kulialia tu! Someni!!!!!!!! Msiilaumu NECTA, hii ni taasisi ambayo imeajiri wakristo na waislamu na hivyo itamtendea haki kila mmoja wetu!

Big up Mkuu Makamba amewapa laivu wanabaki kujiuma uma tu. Mitihani inasahihishwa na wakristu na waislamu wakiwa katika jopo moja na wanafunzi wanakuwa wameandika namba za mitihani na siyo majina yao. Sasa NECTA itawaonea vipi waislamu na isitoshe katika usahihishaji kila mwalimu husahihisha swali moja tu na kumpa mwenzake.

Someni acheni kulalalama mbona kuna waislamu wengine wanaingia kumi bora, wao mitihani yao inakuwa imeshughulikiwa na BAKWATA eerh, ila wanaotaga mayai ni NECTA ndiyo machinjio yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom