Makamba: Waislamu, nafasi za kazi hazigawanywi kama Njugu, someni!!

Status
Not open for further replies.
Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam!

ama kweli ukweli mchungu. hapa hakuna cha kumsema ovyo makamba someni. acheni kulalamika.
 
nadhani makamba ameenza kuchanganyikiwa akili.

Hujuma ziko wazi! Na hata akina ndalichako walikili! Huyo makamba anaongea kwa ushahidi upi?
Mara ngapi misaada mikubwa imepelekwa kwenye mashule na vyuo vinavyomilikiwa na kanisa kupitia makubaliano haramu ya mou? Hii ni kwa faida ya nani? Na maslahi ya nani? Watu wakihoji mnasema udini na uchochezi! Acheni mambo yenu bwana.

hakuna aliyekataza taasisi za kiislam kumiliki vyuo,na hakuna chuo cha kikristo kinachozuia waislamu wasisome.hili ni suala la utashi binafsi na mipango ya taasisi husika.
 
hakuna aliyekataza taasisi za kiislam kumiliki vyuo,na hakuna chuo cha kikristo kinachozuia waislamu wasisome.hili ni suala la utashi binafsi na mipango ya taasisi husika.
wakiristo kosa mou. Hali yao ya kielimu ingalikuwa mbaya zaidi kuliko waislam
 
At least huu sio uchochezi. Ni kitu ambacho kinaweza kutusaidia sote. Tusisistize elimu kwa watoto badala ya kupandikiza chuki na dhana kuwa wanaonewa. Kila mtu anavuna alichopanda.

Jamaa yuko vizuri kichwani!

Zinedine,

Acha uvivu wa kufikri bana!
Hakuna swala la udini au ukabila. Hapa Makamba wa Chama cha Magamba amewapa 'makavu live' Waislamu.
Alichosema Makamba ni ukweli mtupu na lazima Waislamu wote wasikie na waelewe hivo. Kwamba ni upuuzi kukaa na kulalamika ati Wakristo wanapendelewa kwenye nafasi za uongozi serikalini ilhali huna sifa(Qualifications) za kuomba na kuipewa hiyo nafasi!!!

Someni kwa bidii kwenye shule zinazofundisha Elimu Dunia! Lakini kama mtaendelea kung'ang'ania shule za MADRAS na kushinda misikitini hamuwezi kupata Nafasi za uongozi ngazi yoyote kwa vile Vyeo/Nafasi serikalini hazigawiwi kama SADAKA!!!

Saafi sana Makamba wa Magamba.

Wewe sasa ndio unaeleta Udini! Kama huna cha kukoment kaa kimya sio lazima utafute watu wakubaliane na mtazamo wako.
Kwani wapi umeona Uislamu au Ukristo umekashifiwa!? Makamba kawaeleza Waislamu ukweli na kuwashauri kuwasomesha watoto shule wapate elimu Akhera na Dunia,ili waweze kuajiriwa na serikali pale inapo tokea Fursa na wasibaki tu kulalamika kuwa Wakristo wanapendelewa kitu ambacho sio kweli!

When emotions lead the motion, outcomes will lead to demolition
 
angalau waislam wengi wapo nje ya system tz inaongoza kwa rushwa, umaskini . hapa jamii ya kiislam hawana LAWAMA maana hawana nafasi katika ujenzi wa taifa hili kwa kuwa hawakusoma.Kesho mh makamba uwalaumu waliosoma (wakiristo) kwanini wanaipeleka nchi yetu katika umaskiini mkubwa?
Kweli kabisa,hao wanaoambiwa wamesoma,ndio wametufikisha hapo.
 
Kweli kabisa,hao wanaoambiwa wamesoma,ndio wametufikisha hapo.
Likija swala la umaskini na mambo ya rushwa inatamkwa watz. likija swala la watu wasiosoma huambiwa waislam. kama muislam hakusoma anawezaje kufungisha mikataba mibovu? wapi wapi ngumbaro na Mikataba ya kisheria? Makamba anataka kutwambia wakiristo ndio waliofiksha taifa hapa?
 
Makamba aseme waislam hawakusoma kipindi kipi?
Pia ataje ratio ya hao waislam wachache ambao wamesoma ndio ratio ya waislam kwenye ajira?
Yusuf makamba ndo mana waislam wanamwita joseph makamba kutokana na huu ujinga wake wa kuwakebehi waislam.
Hii takwimu makamba kaitoa wapi?
Mbona waislam walivyotaka kuweka hiki kipengele katika sensa wakristo na serikali yao walipinga.
Makamba acha kuwakebehi waislam, hii dunia tunapita tu!
kumbuka ipo siku utakufa na utahukumiwa kutokana na huu upuuzi unaofanya.
Makamba mbona hajasema kuwa NECTA ndio machinjio makuu ya waislam!

wewe ni mmoja wa watu mnaoturudisha nyuma kwa kuamini vitu ambavyo huna ushahidi, na huu ujumbe wa makamba unakugusa moja kwa moja kwani inaonekana unaamini kuwa waislam wanadhurumiwa elimu, me ni muislam na majina yangu tu yanatosha kunijua kuwa me ni muislam lakini nakumbuka nilifanya mtihan wa form 4 mwaka 1998 na nilifaulu me na wenzangu watatu ambao ni waislam, ninachoamini kama ukisoma hakuna wa kukuzuia, wala usiisingizie necta kuwa inawabania waislam, HAKUNA NJIA YA MKATO SOMA NA SOMESHA NDUGU ZAKO
 
wakiristo kosa mou. Hali yao ya kielimu ingalikuwa mbaya zaidi kuliko waislam

Wakati mwingine tujifunze kuusema ukweli kama ulivyo, hiyo MOU mnayodanganyana imesainiwa mwaka 1992, rais wa nchi akiwa ni Mwinyi (Sheikh) swali, Je, ni kweli kabla ya hapo Wakristo walikua hawamiliki shule? Vyuo kama SAUT (usingalie jina) nakumbuka vimeanzishwa mwaka 1968, hapo MOU inaingiaje? Makamba mwenyewe kasoma Seminary za Kikristo na ndio maana ana mistari mingi sana ya kwenye Biblia kuliko hata kuraani! Usipotoshe Historia!

Azimio la Arusha, lilinyang'anya shule ngapi za Kiislam and then linganisha na shule zilizokua zikimiliwa ya Wakristo. Ubishi wa kitoto kama huu hauwezi kukutoa kwenye ujinga hata kidogo, utakua mtu wa kulalamika siku zote, ndio maana hata nchi zilizo na Waislam 98% bado wananchi wake watalalamika tu, mfano, Misry.
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba amewaasa waislamu kusomesha watoto elimu akhera na Dunia, ili waweze kuajiriwa na serikali ktk nafasi mbalimbali.

Amesema kuwa anashangaa Waislamu wakidai kuwa Serikali inawapendelea Wakristo huku wao (Waislamu) wengi wakiwa hawana elimu na kwamba nafasi za kazi haziwezi kugawanywa kama njugu hivyo ni lazima sasa waislamu wahakikishe wanasomesha watoto wao ili waweze kuwa na elimu ya kuweza kuajiriwa.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze magazeti.[/QUO

Jamani tuwe wakweli kwa dhamira zetu. Hebu naomba mtu anieleze hapa jamvini nafasi yoyote ya kazi iliyopo serikalini ambayo kama itatangazwa hakuna Muislam mwenye sifa atakayepatikana. Naamini tuna waislamu wengi tu waliosoma na wenye sifa, tatizo hawapewi nafasi. Ni nafasi ya Upadri au uaskofu tu ndio waislamu hawatakuwa na qualification kwazo. Tuache ushabiki usio na mantiki.
 
Jamaa yuko vizuri kichwani!

At least huu sio uchochezi. Ni kitu ambacho kinaweza kutusaidia sote. Tusisistize elimu kwa watoto badala ya kupandikiza chuki na dhana kuwa wanaonewa. Kila mtu anavuna alichopanda.

Zinedine,

Acha uvivu wa kufikri bana!
Hakuna swala la udini au ukabila. Hapa Makamba wa Chama cha Magamba amewapa 'makavu live' Waislamu.
Alichosema Makamba ni ukweli mtupu na lazima Waislamu wote wasikie na waelewe hivo. Kwamba ni upuuzi kukaa na kulalamika ati Wakristo wanapendelewa kwenye nafasi za uongozi serikalini ilhali huna sifa(Qualifications) za kuomba na kuipewa hiyo nafasi!!!

Someni kwa bidii kwenye shule zinazofundisha Elimu Dunia! Lakini kama mtaendelea kung'ang'ania shule za MADRAS na kushinda misikitini hamuwezi kupata Nafasi za uongozi ngazi yoyote kwa vile Vyeo/Nafasi serikalini hazigawiwi kama SADAKA!!!

Saafi sana Makamba wa Magamba.

Wewe sasa ndio unaeleta Udini! Kama huna cha kukoment kaa kimya sio lazima utafute watu wakubaliane na mtazamo wako.
Kwani wapi umeona Uislamu au Ukristo umekashifiwa!? Makamba kawaeleza Waislamu ukweli na kuwashauri kuwasomesha watoto shule wapate elimu Akhera na Dunia,ili waweze kuajiriwa na serikali pale inapo tokea Fursa na wasibaki tu kulalamika kuwa Wakristo wanapendelewa kitu ambacho sio kweli!

Ndio maana tunaomba mahakama ya kadhi ili nasisi tupate ajira ya kutandika viboko, kuwapiga mawe na kunyonga watu. Hii itatusaidia kuongeza obwe la ajira hapa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

walewale wa ponda. jitambue. tafuta elimu, uboreshe maisha yako. hizi kelele hata wkt wa mtume zilikuwepo

Majuzi nimepita pale Mkwajuni stand..asbuhi saa mbili naona vitoto vidogo vimevishwa nguo nyeupe za karate na ustaadhi mmoja wamejipanga pale stand wanapiga karate. Kwanini wasikae darasani kujifunza kusoma na kuandika? Ombwe wanalijenga wenyewe bila kujua

Ni wasia mzuri tu alioutoa wala siuoni ubaya hapo, kwani hata aya ya kwanza ya Qur'an iliyoteremshwa inatuhimiza hilo la kusoma "Iqraa", Au hujui hilo?

Jinga sana wewe, Proposal iko wapi? MOU ni ouvu uliofichwa na sasa umefichuliwa huo ndio ukweli wenyewe na hakuna majungu.

Haya masuala ya dini yanatugawanya jamani mbona hatuelimiki,hawa watu wanatugawa ili watutawale vizuri

naamini kesho makamba atawalaumu WASOMI (wakiristo) kwa kuifilis nchi yetu maana kwa kuwa waislam hawakusoma sidhani kama wanahusika na Umasikini huu wa tz

Hawa Jamaa wako very cheap ukiwapa ubwabwa utasikia chakula cha mtume hiki astaghafulilahi......Pendeni kusoma Elimu dunia si Ilimu ahera

kwa hivyo wakirsto tuwalaumu kwa kulifikisha hapa tulipo? maana ndio wasomi wakuu kama makamba anavyotaka tuamini

wakiristo kosa mou. Hali yao ya kielimu ingalikuwa mbaya zaidi kuliko waislam

Likija swala la umaskini na mambo ya rushwa inatamkwa watz. likija swala la watu wasiosoma huambiwa waislam. kama muislam hakusoma anawezaje kufungisha mikataba mibovu? wapi wapi ngumbaro na Mikataba ya kisheria? Makamba anataka kutwambia wakiristo ndio waliofiksha taifa hapa?

Tulikuwa tunaelekea kusahau hizi mada za waislamu/wakristo, lakini wakereketwa wa udini mnaanza kuzileta tena. Mods, plz fanyeni kazi yenu hima, toeni uchafu huu

Samahani kwa nitakaemkwaza kwa kuunganisha quotes nyingi, sina tatizo na kilichosemwa na Makamba kwa kuwa ni haki yake ya kikatiba na mtizamo wake. Hata hivyo ukweli ni kwamba JF members hatuna uvumilivu wa kuchangia mada zinazohusiana na imani za kidini (japo kwa kutajwa tu), ndio maana huwa sipendi kuwepo na hizi mada kwani kuna watu wanapenda kutoka nje ya mada na wana lugha za kuudhi (kama utavyoona kwenye quotes nilizochukua) kitu ambacho si kizuri kwa mustakabari wa Taifa hili. Binafsi nimesoma uislamu kwa kiwango kizuri na nimesoma secular kwa kiwango kizuri vilevile na nimewahi kufanya kazi serikali ya Tanzania kabla ya kutafuta green pastures nje ya nchi(katika idara ambayo imenifanya nijue mambo mengi kuhusiana na masuala ya kikristo/kiislamu kwa Tanzania na nimeweza kuyahifadhi katika nafsi yangu yote, kwa vile nina kiwango kikubwa cha uvumilivu wa kidini). Aidha jambo linaloshangaza, huku nje ya nchi kuna uvumilivu na uhuru mkubwa wa dini ya mtu. Nikitoa mfano halisi, katika Taasisi nayofanyia kazi kuna waislam wasiozidi 20 kati ya wafanyakazi zaidi ya 2500, lakini ofisi imetenga sehemu (chumba) kwa ajili ya waislamu kuswali na "no one questions about that". Lakini hilo likifanywa Tanzania itakuwa ni muhari mkubwa, tukubali tu kuwa Tanzania hatuna uelewa wa kutosha wa ku-handle masuala ya kidini tofauti na hizi nchi ambazo 99%+ ni wasio waislamu.
 
Katibu mkuu mstaafu wa CCM Yusuph Makamba amewaasa waislamu kusomesha watoto elimu akhera na Dunia, ili waweze kuajiriwa na serikali ktk nafasi mbalimbali.

Amesema kuwa anashangaa Waislamu wakidai kuwa Serikali inawapendelea Wakristo huku wao (Waislamu) wengi wakiwa hawana elimu na kwamba nafasi za kazi haziwezi kugawanywa kama njugu hivyo ni lazima sasa waislamu wahakikishe wanasomesha watoto wao ili waweze kuwa na elimu ya kuweza kuajiriwa.

Source; Radio Free Afrika tuzungumze magazeti.

Ningekuwa Muislam ningeongeza bidii sana kipindi hiki katika Elimu dunia, maana nafasi zipo nje nje!!!
 
Kamuambie baba yako Makamba haya unayoyasema! Mimi nimeandika tu nilichokisikia. Ikiwa unaona kuna kosa ktk Ushauri huu wa Makamba basi ni vema ukaeleza kuwa kosa ni lipi na sio kulalamika.

Binafsi naona kuwa Ushauri wa Makamba ni wa Msingi na ni changamoto ikiwa Waislamu wanataka kupata ajira Serikalini na ktk taasisi za mashirika na watu binafsi. Duniani kote sasa ajira hupatikana kwa Profesianal na sio kwa uzoefu,.Hatusemi watu waache kusoma elimu ya Akhera hapana! Ila wasome elimu akhera na dunia. Makamba yupo sahihi kwa waelewa ila kwa wasioelewa kama wewe Kaaazi kwelikweli!!
My friend, kukuelewa nakuelewa sana na najua yote unayokusudia, sipingani na ww na hata makamba ni msemaji sana wa maneno haya. najua ..ila kwa sasa ukitaka kujua watu walivyo na tafsiri finyu wataibua hasira wametukanwa na mengine. Ndiyo maana nikasema mada za udini tuachie magazeti....
 
Waislamu weng ofcourse wanapeleka watoto wao kwenye mambo ya dini zaid kuliko elimu..labda wanapata ajira huko...kazi ya wazaz wengi ni kukàa vijiwe vya kahawa kubishana had jion mambo yasyo ya msingi huko kaz ya kulea famil ikibak kwa wake zaoôna mikoa ming kama moro kigoma mtwara lindi tanga hata zenji ..mi nakubaliana na makamba kua wazaz wabadilike kuwapeleka shule
 
naamini kesho makamba atawalaumu WASOMI (wakiristo) kwa kuifilis nchi yetu maana kwa kuwa waislam hawakusoma sidhani kama wanahusika na Umasikini huu wa tz

Wewe acha umbulula, ngoja nikutajia baadhi ya mafisadi ambao ni Waislamu.
1. Baba Riz na mwanae Riz.
2. Rostam.
3. Nazir Karamagi.
4. Hamis Kagasheki, na wengine wengi tu yote hiyo ni mijizi.
 
wasome wasisome linakuhusu nini..acheni mada za udini kwa mitandao ya kijamii..magazeti ni yanatafuta njia ya kutokea kimauzo

aliyelizungumza hakuliona hilo? Ila ukweli unabaki palepale, no education no employment, message sent and delivered, hongera zake yusuph makamba aliliona hilo sasa ivi anakula matunda ya watoto wake eg. Mwanvita and january laiti asingewasomeshaaaaaa sijui ingekuwaje. Watanzania tubadilike hii sio udini ni kukumbushana tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom