Karibu tena kwenye kuanzisha uzi
Naona la Kabobe mliyemtuma limewatokea puani.. eeeeh
Ni kiongozi na hayo ni mawazo yake yeye alivyotaka kuona hayo.
Hivi vitu ni tafsiri yako tu, vinginevyo msemaji awe amekusudia kuwa direct, ktk hayo maelezo Makamba hayuo direct, wewe ni muathirika wa ulichotaka kutafsiri.Gazeti la Mwannchi la leo Disemba 30,2017, limeandika au kwa lugha nyingine limenukuu tweet ya jana ya Waziri wa Muungano na Mazingira, bwana January Makamba.
Tweet husika inasomeka:
"Uongozi ni koti la kuazima.Kuna wakati utarudisha tu.Kama ulikuwa unawakoga nalo watu,likirudi unaadhirika."
Makamba amekiri kuwa hiyo tweet ni yake baada ya kuulizwa na gazeti la mwananchi.
My take:
Mwisho wa siku kila mtu mtumuona adui au mpiga dili kumbe maadui na wapiga dili ni nyinyi wenyewe na kikundi chenu cha watu wachache.
Meseji ya kakobe imewavuruga hadi mnaanza kutoa mitamko Nina zenu subirini sasa kimbunga cha siku ya mkesha mwaka Mpya na huyo bwanenu haendagi tena kuomba,sjui xmass kasali wapi au malaika walinzi wamempa Ujumbe kuwa mungu hajaribiwi,hahaaaaaa mnalooooi
Mnaangaika sana, ila hamjui mna deal na mtu wa aina gani, zamu hii kila rangi mtaiona. Badala ya kwenda vijijini angalau mjaribu kutetea viti vya ubunge na udiwani 2020 vipatikane hata 10 tu,mpo mnahangaika na kauli za KAKOBE. Na viongozi wenu wamesanda wapo kimya, hizi siasa za matukio zitawafanya mpate wabunge 5 mwaka 2020 msiposhtuka mkaacha kucheza kila ngoma inayoletwa.
Pole dadaKaribu tena kwenye kuanzisha uzi
Naona la Kabobe mliyemtuma limewatokea puani.. eeeeh
Ni kiongozi na hayo ni mawazo yake yeye alivyotaka kuona hayo.
Pole dada