Makamba: Uongozi ni koti la kuazima

Makamba: Uongozi ni koti la kuazima

Hao mwananchi wanajua jinsi ambavyo chadema hufarijiwa na tweet za aina hiyo ndio maana wameileta kama ilivyo laiti ungekuwa unafatilia ungeenda kwenye account ya J Makamba uone alikuwa anaongea na nani na kwanini alisema hivyo?
Hiyo tweet alikuwa ana mjibu mchngiaji fulani kwenye twitter aliye muuliza mbona yeye aonekana kama ni kiongozi?
Kwakuwa Chadema mnaugonjwa wa kusahau na mnahitaji faraja basi mtaanza kumuita Kamanda teh teh teh.......
Chadema inakuwasha sana.mbona hujasema CUF TLP au ACT hufarijiwa na hizo tweet? mnaiogopa sana Chadema nyie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwisho wa siku kila mtu mtumuona adui au mpiga dili kumbe maadui na wapiga dili ni nyinyi wenyewe na kikundi chenu cha watu wachache.
Kwani umetafsiri vipi hiyo tweet,mbona unatokwa na mapovu tu
 
Hao mwananchi wanajua jinsi ambavyo chadema hufarijiwa na tweet za aina hiyo ndio maana wameileta kama ilivyo laiti ungekuwa unafatilia ungeenda kwenye account ya J Makamba uone alikuwa anaongea na nani na kwanini alisema hivyo?
Hiyo tweet alikuwa ana mjibu mchngiaji fulani kwenye twitter aliye muuliza mbona yeye aonekana kama ni kiongozi?
Kwakuwa Chadema mnaugonjwa wa kusahau na mnahitaji faraja basi mtaanza kumuita Kamanda teh teh teh.......
Umeshindwa hata kujiuliza Katika nchi hii ni Nani? Aliyeazimishwa koti. Akalifanya la kwake?mpaka wafuasi wake wanaanza kumpigia debe asirudishe koti. Maana LIMEMPENDEZA SANA.
 
Gazeti la Mwannchi la leo Disemba 30,2017, limeandika au kwa lugha nyingine limenukuu tweet ya jana ya Waziri wa Muungano na Mazingira, bwana January Makamba.

Tweet husika inasomeka:

"Uongozi ni koti la kuazima.Kuna wakati utarudisha tu.Kama ulikuwa unawakoga nalo watu,likirudi unaadhirika."

Makamba amekiri kuwa hiyo tweet ni yake baada ya kuulizwa na gazeti la mwananchi.

My take:

Mwisho wa siku kila mtu mtumuona adui au mpiga dili kumbe maadui na wapiga dili ni nyinyi wenyewe na kikundi chenu cha watu wachache.
Huyu Makamba kuna kitu anatafuta si bure!
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Tunaombeni update ya mtu anaeyetakiwa atubu kwanza kama tayari au bado
 
Hivi vile vikatuni vya January Makamba siku hizi mbona kwenye tweeter havitupii tena? dah aliniachaga hoi sana na vile vikatuni vyake aisee
 
La Kakobe bado linaendelea kuwateseni, wala haliishi leo. halafu si unaona na akina Askofu Bagonza wanaendeleza hilo zali...

Kakobe ni mwananchi anachofanyiwa ni sawa tu.. sio wa kawaida watendwe yeye mumteteee

Mpeni dawa za usingizi maana joto limemwingia haswa mwilini..
 
Mnaangaika sana, ila hamjui mna deal na mtu wa aina gani, zamu hii kila rangi mtaiona. Badala ya kwenda vijijini angalau mjaribu kutetea viti vya ubunge na udiwani 2020 vipatikane hata 10 tu,mpo mnahangaika na kauli za KAKOBE. Na viongozi wenu wamesanda wapo kimya, hizi siasa za matukio zitawafanya mpate wabunge 5 mwaka 2020 msiposhtuka mkaacha kucheza kila ngoma inayoletwa.
Hawa jamaa propaganda zao zimepwaya sana.
 
Ila nyie Chadema nyie... Haaa.. Mbowe kawafanya misukule wote haki ya nani
 
Karibu tena kwenye kuanzisha uzi
Naona la Kabobe mliyemtuma limewatokea puani.. eeeeh

Ni kiongozi na hayo ni mawazo yake yeye alivyotaka kuona hayo.
Utaenda kwenye mkesha kwake

Ova
 
Mnaangaika sana, ila hamjui mna deal na mtu wa aina gani, zamu hii kila rangi mtaiona. Badala ya kwenda vijijini angalau mjaribu kutetea viti vya ubunge na udiwani 2020 vipatikane hata 10 tu,mpo mnahangaika na kauli za KAKOBE. Na viongozi wenu wamesanda wapo kimya, hizi siasa za matukio zitawafanya mpate wabunge 5 mwaka 2020 msiposhtuka mkaacha kucheza kila ngoma inayoletwa.
Sema yote baba [HASHTAG]#kutubukupopalepale[/HASHTAG] lazima ATUBU TUUUU hamna namna
 
Karibu tena kwenye kuanzisha uzi
Naona la Kabobe mliyemtuma limewatokea puani.. eeeeh

Ni kiongozi na hayo ni mawazo yake yeye alivyotaka kuona hayo.
Mama wa lumumba umekuja kivingine
 
Back
Top Bottom