Makamba: Uongozi ni koti la kuazima

Makamba: Uongozi ni koti la kuazima

Wengine huwa ni wagumu mno kurudisha koti la watu hadi waporwe kwa nguvu!! Kuna jirani yetu pale karibu na ferry ameshaanza kushona sehemu zilikuwa na vifungo!! Yaani badala ya vifungo yeye anashona kabisa,anadai eti vifungo vinamchelewesha kufungua na kufunga,sasa siku atakayotakiwa kuvua sijui itakuwaje! Na anasema kuwa koti alienda kuazima mwenyewe kwa hiyo hakuna wa kumpangia jinsi ya kulivaa!! Hajaribiwi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mnaangaika sana, ila hamjui mna deal na mtu wa aina gani, zamu hii kila rangi mtaiona. Badala ya kwenda vijijini angalau mjaribu kutetea viti vya ubunge na udiwani 2020 vipatikane hata 10 tu,mpo mnahangaika na kauli za KAKOBE. Na viongozi wenu wamesanda wapo kimya, hizi siasa za matukio zitawafanya mpate wabunge 5 mwaka 2020 msiposhtuka mkaacha kucheza kila ngoma inayoletwa.
Hivi wewe unafikiri kuna mtu ana hamu na ubunge wa upinzani? Nani hajipendi? Mfano ni chaguzi za sasa hivi ukiona mtu kaingia ana kinga. CCM itatawala daima kama kinvyotawala chama cha kikomnist China au Cuba. Usiwe na presha wala kupoteza muda kuandika. Wengi waliokuwa wanagombea upinzani ni watu waliotosheka hivyo hata wakiacha siasa hawatakuwa omba omba.
 
Lakini hilo lilikuwa ni jibu alilolitoa kwa mdau.
Ni kuangalia haya maneno ameyatamkaje
190e1f41930e7a505941d118a490b6e5.jpg
 
mwenye koti yupo hoi aliyeazimwa kaabiwa achukue moja kwa moja maana anajua kulitunza na kulipeleka drycleaner
 
Mnaangaika sana, ila hamjui mna deal na mtu wa aina gani, zamu hii kila rangi mtaiona. Badala ya kwenda vijijini angalau mjaribu kutetea viti vya ubunge na udiwani 2020 vipatikane hata 10 tu,mpo mnahangaika na kauli za KAKOBE. Na viongozi wenu wamesanda wapo kimya, hizi siasa za matukio zitawafanya mpate wabunge 5 mwaka 2020 msiposhtuka mkaacha kucheza kila ngoma inayoletwa.

Mkuu, wakuu wa mikoa wameagizwa kutenga maeneo ya viwanda na kuhakikisha wanafanya wawezalo ili kujenga viwanda 100. Jana nimemuona Mrisho Gambo akiitisha press kutaka makanisha ya Kakobe yachunguzwe kama ni ya shetani, ila lile sio jukumu lake. Lakini hajawahi kuitisha press conference kuzungumzia ni wapi ametenga eneo la kujenga viwanda, wala hajawahi kuonyesha viwanda vilivyokufa ni vingapi kafufua. Sasa kama ccm hawajihusishi na siasa za matukio, hiyo jana Mrisho Gambo alipaswa kuitisha mkutano kuelezea ni wapi amefikia kuhusu ujenzi wa viwanda ambavyo ni ajenda ya chama chake, au kuongelea makanisa ya Kakobe kama ni ya kishetani? Unapopotea ujinga uwe na aibu kidogo maana hapa tuko wenye akili zetu.
 
Hivi wewe unafikiri kuna mtu ana hamu na ubunge wa upinzani? Nani hajipendi? Mfano ni chaguzi za sasa hivi ukiona mtu kaingia ana kinga. CCM itatawala daima kama kinvyotawala chama cha kikomnist China au Cuba. Usiwe na presha wala kupoteza muda kuandika. Wengi waliokuwa wanagombea upinzani ni watu waliotosheka hivyo hata wakiacha siasa hawatakuwa omba omba.
Nimekuelewa sana niah.. , nimemiss tu picha yako irudishe basi,. Au nicheki PM.
 
Jamaa akubali kukosolewa huwezi kuwaziba watu midomo kwa pazia heti unanyoosha Nchi kwani ilikua imepinda wapi huwezi kuwanyima watu Uhuru ambao uliukuta
 
Back
Top Bottom