Makamba na Ubwabwa wa dezo

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
makamba.jpg
Ndg wana JF,
Nimeambatanisha hii picha ili mshuhudie jinsi huyu mzee anavyopenda mnuso wa dezo.
Kwa hali hii unatarajia anaweza akaongea point?
 
ana pilipili yake ya kung'ata hapo na ndizi kavisunda kwenye soksi.


kama namuona vile anachek kama wenzake wanamuangalia kisha anainama kimachale anatoa ndizi yake na pilipili kwenye soksi zinanuka shit mbaya,anaweka kwenye ubwabwa anaendelea ,halafu hatumii kijiko anakula kwa mkono..Du katibu bwana;;nasikia MKERE ana mpango wa kumrudisha KATIBU bungeni sijui itakuwaje baba na mwana wanamwaga pumba mjengoni
 
Back
Top Bottom