Makamba na Bei za Mitandao ya Simu

mwambien huyo maROPE wenu amefanya nn jimbo la bumbuli mpaka sasa mbona anawapa watz matumain hewa ambayo yalikuepo tokea mwalimu mpaka leo.nahis jamaa alikua ndoton kwan sijawah kuona akisimia jambo lolote tokea yupo ikulu na sasa bumbul kama amefanya niambien
 
Ataweza Wakati dadake ni mmoja we wanaonufaika na bei kubwa ?
 
OMG..i thot nipo kwenye Tech,Gadgates&Science forum
 
safi sana muheshimiwa.... watanzania tunategemea mabadiliko....
 

Jamani kwani Mwanvita kajaje humu tena! Mbona January ni kijana ambaye anajua sana kujieleza na kujenga hoja nzuri tu Bungeni kwa ajili ya ustawi ya Taifa letu, aipendezi kuanza kuwaponda watu kwa sababu ya chuki binafsi tu; unaweza kusemaje kwamba manaibu wa mawaziri hawana kazi yoyote, naona nia yako ni kuonyesha kwamba January si lolote si chochote - mtu ukisoma kwa umakini post yako unatambulika kuwa na wewe ni kijana kama January alivyo kama ndio hivyo kwa nini unamponda kijana mwenzako badala ya KUMPONGEZA.
 
Huyu dogo ni kilaza wa mwisho safari yake ya kisiasa ndio imeishia hapo.Soon ataanza uropokaji kama baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…