Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee, amewatoa 'knock out' Makamba na Londa, ambao walilazimika kuondoa malalamiko yao kwa Spika wa Bunge dhidi yake Mbunge huyo kutokana na kauli yake (Mdee) akiwatuhumu kwa ufisadi katika sakata la ugawaji viwanja huko Kinondoni.
Katika ‘hukumu' aliyoisoma Bungeni jioni hii, Spika Sitta amesema kutokana na hali hiyo, maneno ya Mdee dhidi ya vigogo hao wawili yanabaki kama yalivyo na hakuna haja ya kuwaomba radhi
Kama tuhuma zimethibitika bungeni, kitu gani kinafuata - Mdee kuombwa msamaha, Makamba na Londa kuwajibishwa au busara za Spika kutumika ?
Mkuu Mag3 hapo ndo zimeshatumika hivo!
- Sasa unaposema kwamba amechomoa, inaleta maswali mengi kuliko majibu, wakati hiki kibarua alikiandika kwenye kikao cha bunge lilopita iweje leo achomoe?Mh. S Sitta (Mb) Spika.
Mh. Wewe ni mwanasheria unatufundisha madhara ya haki inapocheleweshwa kutolewa. Yule binti ambaye ni mbunge mwenzangu amenidhalilisha sana. Naumia nisiposikia lolote hasa ukizingatia kwamba kesho ndio mwisho wa kikao chetu hiki.
Rafiki yako
Makamba
Amelalamika kama mwananchi wa kawaida. Kwa mujibu wa kanuni zilizopo, Mbunge analindwa kwa anayoyasema Bungeni. Lakini iwapo atakayoyasema yatahusu tuhuma dhidi ya mtu aliye nje ya Bunge, ambaye hawezi kujitetea moja kwa moja Bungeni, mtu huyo ana haki ya kumwandikia Spika akijitetea au kulalamikia kauli ya MbungeYangu maswali ni haya kwenu nyie wadau wenzangu
1.Londa kulalamika kwa Spika kama mwananchi ama Naye ni Mbunge mie sijui ?
Kazi ya Chief Prosecutor ni nini????? Kama Bunge limethibitisha hilo kuwa maneno ya Mbunge Mdee yanabaki kama yalivyo ina maana kuwa Londa na Makamba wamethibitika kuwa walitenda yale makosa. Nafikiri ni jukumu la Chief Prosecutor kufanya kazi yake.
Kazi kwelikweli. Na tatizo ni kuwa Londa na Makamba ni sewhemu tu ya vigogo ambao wanahusika na sakata hili.unaweza kuta chief-prosecutor huyu POLITICALLY makamba ni boss wake.sasa unategemea nin kwenye serikali ''ya kulindana-lindana''?
Awali walimu-undermine, walimuona kuwa ni 'dogo' tu. Kumbe mwenzao alikuwa amejipanga. Alitumia elimu nyake ya sheria kuwabana. Alijaribu hivyo nje ya Bunge wakawa wajanja, wakaruka kisiasa. Akaamua kukusanya nondo kamili na kurusha mambo Bungeni. Huko sasa hakukuwa na longolomgo na wazee wakaingia kichwakichwa na kutaka kumnyamazisha 'dogo'. It was too late walipobaini kuwa ana nondo zote. Wakashaurwa na wenzao wajondoa 'mashitaka' yao lkn nadhani Sita akala jiwe na kuamuru kamati iendelee na mchakato hata kama walioshitaki wameamua kujitoa.- Mkulu Mpitanjia, saafi sana hapa nina barua moja ya Makamba ya siri sana iliyoandikwa kwa mkono wake kwa Spika, akimlilia kuhusu hii ishu ninayo hapa, naomba niwaandikie wana JF wote kama ilivyo na wakati muafaka nitaibandika hapa maana sasa JF tunaanza kwenda kwa mwendo wa mdundo like never before, inasema hivi-:
- Sasa unaposema kwamba amechomoa, inaleta maswali mengi kuliko majibu, wakati hiki kibarua alikiandika kwenye kikao cha bunge lilopita iweje leo achomoe?
- Halafu cheki eti na yeye anajua machungu ya kucheleshewa haki!
Respect.
Field Marshall Es.
Mkuu Mag3 hapo ndo zimeshatumika hivo!