Makamba Hajatulia! - Warioba

Makamba Hajatulia! - Warioba

Of all the people hata Quares anaweza kusema chochote akaeleweka? lol mkoa wa mbeya waulize wananchi walivyokuwa hawaishi kuandamana...he is just a failure...

Ni kweli wanaopiga kelele unaweza ku-connect dots...ukajua wanatokea wapi hawana lolote, kama wanataka real politics wamtengeneze mtu wao (CCM backbenchers) apambane na JK 2010...

lakini nani atamwamini qaures, sumaye, mkapa, butiku and his company just lost generation lol
Wapo watakaowaamini
 
Makamba asipojiuzulu basi karogwa au ana ugonjwa wa uduvi!

Hivi kweli kwa jinsi hali ilivyo sasa hivi tunategemea Makamba ajiuzulu wakati ndiye anayewakingia kifua mafisadi ndani ya CCM.Sio rahisi Makamba kujiuzulu kwa sababu waliomchagua wanafurahia utendaji wake.

Mabadiliko yatatokea pale tuu wanaCCM wataamua kufanya mabadiliko ndani ya chama chao ili kuendoa fedheha,wasipofanya mabadiliko ya dhati ndani ya uongozi uliopo sasa tena katika ngazi zote hakika CCM itakua historia baada ya muda sio mrefu ujao.
 
😱
Tatizo ni CCM na sio Makamba , kwani kama lingekuwa tatizo ni Makamba basi CCM wangeshamtoa kwani wao ndio walimweka,ila kuendelea naye maana yake wanaridhishwa sana na utendaji wake na yote anayosema ni kwa niaba ya chama na yameedhihirika kuwa yanakijenga zaidi chama.
Hapo kwenye Nyekundu unamaanisha JK au? maana najua Katibu Mkuu hachaguliwi bali anateuliwa!
 
- Warioba aaamue either kuhesabiwa kama kina Quaresi, au anyamaze, somebody should tell Warioba kwamba Makamba, hakujipa ukatibu wa CCM, kama hajui aliyempa basi akaangalie katiba ya CCM ni wajibu wa nani kumchagua katibu wake mkuu?

- Waziri mmoja zamani kwa jina Makweta, siku moja alikwenda kwa bosi wake then Rais Mkapa, kumlalamikia kuhusu msaidizi mmoja wa Rais kwa jina la Kumchaya, Mkapa alimsikiliza mpaka akamaliza kwanza, akamjibu kwamba kama Kumchaya hafai basi na mimi niliyemchagua kuwa msaidizi wangu sifai, next cabinet Makweta, akatupwa nje huku Kumchaya akiendelea na unga!

- Warioba aache kuzunguka mbuyu, Quaresi ameshapandisha the bar, sasa kina Warioba wasiturudishe nyuma tena wote tunajua Makamba amechaguliwa na nani!

Respect.

FMEs!

Mkuu nakubaliana na wewe asilimia mia moja hakuna kurudi nyuma,sio JK au Makamba wote hawafai.
 
Of all the people hata Quares anaweza kusema chochote akaeleweka? lol mkoa wa mbeya waulize wananchi walivyokuwa hawaishi kuandamana...he is just a failure...

Ni kweli wanaopiga kelele unaweza ku-connect dots...ukajua wanatokea wapi hawana lolote, kama wanataka real politics wamtengeneze mtu wao (CCM backbenchers) apambane na JK 2010...

lakini nani atamwamini qaures, sumaye, mkapa, butiku and his company just lost generation lol

Sio sula la kuwaamini sio hoja, hoja ya msingi hapa ni kwamba kuna ombwe la uongozi na katika hili hakuna ubishi.Kama ni hivyo yoyote atakayepatikana mwenye kuonyesha uwezo zaidi ya JK atakubalika hata kama hatakuwa kiongozi bora sana.

Inasikitisha kuona Tanzania kama nchi mfumo wetu wa kupata viongozi umechakaa baada tu ya awamu hii ya nne kuingia madarakani,huu ni wakati muafaka sasa kuandaa mfumo mpya utakao toa viongozi wanaofaa kuliongoza taifa katika wakati huu tulio nao sasa.
 
Wakuu hapo juu shikamoni sana. Hawa akina Makamba ni JK ndio aliwateua na anawalinda.

Maropes alinusurika kung'olewa na NEC Vasco DaGama akamwokoa sasa tutawatofautishaje?

Warioba naye uoga tu unamsumbua sijui anaogopa kufutiwa pensheni yake. Anachanganya sana anaposema Rais anawaelewa wakati Rais huyo huyo wakati anatua nchini ametamka kuwa watu wana chuki binafsi kwa sababu aliwashinda 2005, Pia amesema atawajibu. Atatuambiaje kuwa anawaelewa?

Naanza kuhisi kuwa ana madoa yake naye na kivuli chake kinamfuata japo aliyosema yana mantiki.

Jaji Joseph warioba ni mtu mwenye hekima, nafikiri amesema ujumla wa jambo zima, kama wewe ndiyo unamteua mtu akufanyie kazi yako na unamwamini sana, na wengine wakasema ni bogas sasa sijui wewe uliomchangua inakuwaje? nafikiri mmemwelewa ingawa hakufafanua ki uwazi.
 
7079d1260530619-makamba-hajatulia-warioba-l-698-.jpg

Hapa wazee ambao hawajatulia wakiwa kwenye send off ya Bintiwe Edo

From Michu
 
Mtazamo wangu ni kwamba JK amepangiwa viongozi na hajapanga yeye hivyo hana uwezo wa kuwaondoa,angekuwa na uwezo wa kuwaondoa ungekuta ameshafanya mabadiliko siku nyingi lakini ubavu huo hana.

Inasikitisha mahali ambapo Tanzania tumefika,hakika JK hapaswi kupata awamu ya pili kuruhusu hili kutokea ni kuruhusu machafuko kutokea Tanzania na machafuko yakitokea hakuna atakayeweza kuyazima.

Rais alishatamka kwamba urais wake hauna ubia kwa hiyo hatutegemei kwamba aliweza kupangiwa viongozi na hana uwezo wa kuwaondoa. Tukubaliane tu kwamba hataki kufanya hivyo kwa sababu zake mwenyewe binafsi.
 
Of all the people hata Quares anaweza kusema chochote akaeleweka? lol mkoa wa mbeya waulize wananchi walivyokuwa hawaishi kuandamana...he is just a failure...

Ni kweli wanaopiga kelele unaweza ku-connect dots...ukajua wanatokea wapi hawana lolote, kama wanataka real politics wamtengeneze mtu wao (CCM backbenchers) apambane na JK 2010...

lakini nani atamwamini qaures, sumaye, mkapa, butiku and his company just lost generation lol

Hapa si suala la mapambano kati ya nani na nani. Hapa kuna suala zito la mustakabali wa nchi na namna ya kunusuru wananchi wasio na hatia wasije wakapata shida huko baadaye kutokana na viburi na mvutano wa viongozi wanaoangalia maslahi binafsi badala ya kuangalia maslahi ya umma wa Watanzania waliowaweka madarakani.

Mwalimu Nyerere at one point was being counted as a 'lost generation' as you put it, lakini hivi leo Wananchi wanajaa matumaini wakilisikia jina lake likitajwa tu. For your information people of all walks of life are queing to congratulate the "lost generation" for their courageous move of starting to 'bell the cat'!!! Kalaga baho!

Alisema mtu mmoja kwamba misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili ndiyo inayofanya wananchi waendelee kuwa wavumilivu. I agree with him totally.
 
- Warioba aaamue either kuhesabiwa kama kina Quaresi, au anyamaze, somebody should tell Warioba kwamba Makamba, hakujipa ukatibu wa CCM, kama hajui aliyempa basi akaangalie katiba ya CCM ni wajibu wa nani kumchagua katibu wake mkuu?

- Waziri mmoja zamani kwa jina Makweta, siku moja alikwenda kwa bosi wake then Rais Mkapa, kumlalamikia kuhusu msaidizi mmoja wa Rais kwa jina la Kumchaya, Mkapa alimsikiliza mpaka akamaliza kwanza, akamjibu kwamba kama Kumchaya hafai basi na mimi niliyemchagua kuwa msaidizi wangu sifai, next cabinet Makweta, akatupwa nje huku Kumchaya akiendelea na unga!

- Warioba aache kuzunguka mbuyu, Quaresi ameshapandisha the bar, sasa kina Warioba wasiturudishe nyuma tena wote tunajua Makamba amechaguliwa na nani!

Respect.

FMEs!

Mkuu FMEs,
Warioba na Wazee wenzake ambao 'wanazunguka mbuyu' sidhani kwamba hawaelewi wanachokifanya, wamekomaa hawa, wanajua waseme nini na wakati gani.

Kama umeona Mzee Warioba amenukuu aliyosema Rais na Waziri Mkuu na kuyafananisha na yale waliyoyasema wao kwenye Kongamano lile kuonyesha kwamba hayana tofauti. Kwa hiyo, ni lipi lililofanya Rais achomekee kwamba anajua maneno mazuri yasingaliweza kutoka kwa hilo genge la Warioba na wazee wenziwe na kwamba kuna chuki binafsi? Maneno ya Rais yanashabihiana na ya Makamba alichoacha kusema Rais ni neno 'wehu'! Yupi mnafiki hapo?

Tusingelitegemea mtu mwenye busara, uelewa na uzoefu wa kisiasa kama Mzee Warioba akatamka moja kwa moja kwamba 'Rais mbona una'tafuna' maneno yako mwenyewe'? Kwa upande mwingine Warioba alikuwa anatoa ujumbe kwamba tunajua kinachoendelea lakini kwa kuwa tunaipenda sana nchi yetu hatutaki kuiingiza nchi kwenye majibizano miongoni kwa viongozi yatakayozidi kuleta mtafaruku. Kwa maoni yangu amempa ujumbe Rais kwamba wao kama Wazee wa nchi hii wanamheshimu kwa hiyo yeye naye anapaswa kufanya hivyo.

Watu wazima wenye akili timamu huwa hawatoboi wala hawapashani mipasho lakini ujumbe hufika kwa namna wanavyotoa kauli zao. Hiyo inaitwa BUSARA!
 
Swala la elimu tunalitambua sana kwamba ni problem kwake....

Hazimtoshi upstairs...wote tunajua, kwanza ni nature yake...

kwa kujikomba tu duh balaa mpaka anauzalilisha umri wake, chama chake, hata familia

yake, ndo mana kwangu inakua ngumu kuamini kuwa mtoto wake atakua na maadili

ikiwa mzazi wake tu anabihave kiivyo. ukizingatia kwamba mtoto wa kiume huchukua

tabia kwa babaye na wakike kwa mamaye....thx for the report INVISIBLE....

Mkuu nafikiri unakuwa unfair kwa watoto wa makamba, na si kweli mtoto wa kike anachukua tabia ya mama na mtoto wa kiume anachukua tabia ya baba. Watanzania wengi sana tunakuwa so bias kuhusu watoto wa wakubwa, tunawajudge without any evidence. Ingekuwa vinzuri tukaanza kuangalia watu kama individual not mtoto wa nani.
 
Nafikiri kuna haja ya kuacha kuangalia nani anasema na kuangalia nini kinasemwa.

Tujiulize swali moja dogo tu, yanayosemwa ni kweli au si kweli?

Mambo ya motives and ll kwa sasa ni mapema, wanasema nyoka akiingia ndani ya nyumba hamuanzi kujadiliana nani aliacha mlango wai, mnamuua/ mnamtoa nyoka nje ya nyumba, mnafunga mlango, then ndio mnaweza kuanza kujadiliana nani aliacha mlango wazi.

Kwa hiyo kwa sasa hivi, as long as hawa wazee wanaongea ukweli, tu focus kwenye regime change, haya maswali mengine ya motives zao na past prformances zao yatakuwa timely only tutakapoweza kumtoa Kikwete.

Well said Bluray!! Nimebonyeza button ya senksi.
 
mimi hata simshangai huyu bwana..............HE LOOKS MORE LIKE A WITCHDOCTOR than a Secretary General....by the way,ajaribu kuangalia maisha na nafasi yake afta a year...
 
Back
Top Bottom