Makamba atoa zawadi ya Nguruwe

Status
Not open for further replies.


Nguruwe wa kuokwa sasa wataanza kupatikana Dar kuanzia December. Nadhani kiongozi bora wa kualikwa siku ya ufunguzi atakuwa ni Bw.Makamba

Duh! Itabidi nije home kula Xmas!
 


Nguruwe wa kuokwa sasa wataanza kupatikana Dar kuanzia December. Nadhani kiongozi bora wa kualikwa siku ya ufunguzi atakuwa ni Bw.Makamba

Duu hii ndafu ya kitimito umeipata wapi, Inafaa sana kwa harusi.
Duuu inatamanisha sana, hii
 
hueleweki!
 
Makamba, anaakili sana.

Wanafunzi wale Nguruwe ili wanenepe, kosa lipo wapi wajameni?
 
compiting in doing sins...duuh! poleni

Nani kakudanganya kuwa kula nguruwe ni dhambi? Nguruwe hauli na mbinguni hauendi kama hujamwamini BWANA YESU kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yako.
 
[/IMG]

Hii nyama choma inanipa udenda hii.
 


Nguruwe wa kuokwa sasa wataanza kupatikana Dar kuanzia December. Nadhani kiongozi bora wa kualikwa siku ya ufunguzi atakuwa ni Bw.Makamba

Kaazi kweli kweli
 
Makamba kapatia sana, mi ni mwislam lakini hii kitu nasindilia
 
 
Nauliza mwislam akila nguruwe anaenda kuzimu kwa shetani au?? basi mungu wao ni noumer yaani pork anakupeleka motoni na kujili pua ??!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…