Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Huyo jamaa aliyeoa dada yake anagombea kiti gani?
Kama hakombei chochote basi hiyo mada haituhusu na ni udaku.
Na hao watoto wenye pasi za nchi mbili mbili wako chini ya miaka 18?
Kama ni watu wazima, haimhusu baba yao, wala sisi haituhusu. Si forum ya mipasho ya watoto wa Shelukindo.
Shem najua unamzimia sana January Makamba....Plse no Mikasi na yeye!
hahahaha shem...January is a friend bana.....kwanza nataka kujua maana ya hiyo Mikasi kabla sijaitumia you know...u never know shem labda tusi shauri yako.....
Mikasi maana yake tendo la ndoa au ngono au kupima oil
Msamiati mpya huu Mh spika naomba mwongozo.....maana yake nini?Mikasi maana yake tendo la ndoa au ngono au kupima oil
Msamiati mpya huu Mh spika naomba mwongozo.....maana yake nini?
Thank!@!! great mind think alike....nimesema same thing kuwa huyu Baraka hata hana nina ya kugombea kiti chochote na wala hayupo kwenye mambo ya siasa how come anaongelewa issue zake hapa.....hii issue inafaa wale ambao wako mstari wa mbele kugombea hicho kiti cha ubunge huko Bumbuli,
hahahaha shem...January is a friend bana.....
Msamiati mpya huu Mh spika naomba mwongozo.....maana yake nini?
si kufanya oil chage shem na wewe aaah!...mboma hiyo rahisi kwani ww huendeshi gari?
Nakubali.
Sasa hapa inabidi nikuchenjie.
Kumba wakati wote ule unampigia debe January ni kwa vile una mahusiano nae ya kirafiki?
Ungetoa disclosure mapema, vinginevyo ni kama unafagilia mlo.
Kelly,
mwanawane ndio nini?naomba tafsiri.
Shem
Kwenye Bajaj hakuna kuchange Oil! Tasiri tafadhali
Mwanawane na miye nimeijua like 3 month ago Mstahiki maana yake ni RAFIKI....ndiyo nilivyoambiwa unless nimedanganywa...
shem hizo bajaji ndiyo maana zinapata sana ajali kwa sababu haziko safe...alafu bajaji ni baiskeli...

.....wala miye na January hatuna mahusiano yeyote ni kutokana navyomuana anavyofanya vizuri kwenye ofisi that's about it....January is married jamani hebu msije mkamuharibia ndoa yake ikawa kwenye matata....a;afu akakosa ubunge wa bumbuli think yeye ni fuska wala kaka wa watu is innocent na and very smart guy i do admire him for that.....
.
FYI:The true meaning ya Mwanawane comes from Sukumaz.
January amefanya nini kizuri kwenye ofisi, taja kimoja.
Na si kwa Masanilo niliposikia chochote kuhusu wewe na January. Wewe mwenyewe umesema ni rafiki yako. Una mahusiano nae ya kirafiki. Na nilipogusia hilo ukacheka kweli kweli, sijui umefurahi nini. Ukaenda kwenye maswala ya January kuachika na mkewe. Yashakuwa hayo?
Sasa leo utatuambia, January amefanya nini kwenye ofisi. Na hatutaki aliyokufanyia wewe katika mahusiano yenu ya kirafiki, amefanya nini kizuri kazini.

Yanatoka kwenye Kibantu, sio Kisukuma.
Ukirekebisha mtu na maneno makali maKali kama "FOR YOUR INFORMATION", angalau basi jua unachokiongelea.