Makamba akinzana na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba akinzana na JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mambo Jambo, Mar 1, 2011.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wakati katibu wa SiSieM Bw Yusuph akiongea kwa kujitamba kuwa hata kaa meza moja na CDM kwa mazungumzo ya hali ya siasa nchini hivi sasa, Jana Mwenyekiti wa Chama hicho ameomba akutane na viongozi wa CDM, maneno haya hayakuandikwa kwenye press release ya hotuba ya kila mwisho wa mwezi lakini aliyaongezea wakati anasoma hotuba hiyo kwa vyombo vya habari, hii imekaajee, anataka wazungumze nini...na kwa nini kwenye press release haikuwekwa?..
   
 2. s

  smz JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani Makamba na JK nani alimpa kazi mwenzake? Si inaeleweka, kama kawaida Makamba atakuja na methali zake: Oh hayo yalikuwa mawazo yangu. Kama alivyomruka Mary Chitanda kule Arusha - akasema ni mawazo yake na siyo msimamo wa ccm.

  Sasa kama JK kasema anaomba akutane na Ma-kamanda yeye Makamba anabisha nini.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hopeless makamba,...
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  kumbe ndio mchezo wake eeh...???!!!sikujua hili..!!!
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nashangaa kama katamka haja ya kukutana na CDM lakini haikuandikwa kwenye hotuba. Msingi wake ni kuwa yeye yu radhi kukutana machoni pa umma, ili CDM wakitaka ku act atakwepa kuwa wapi alisema hayo?? no evidence; usanii usanii tu km kawaida yake!!
   
 6. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  KUmjadili Makamba (mkubwa na mdogo) ni kupoteza muda. Hamna kitu mle!
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nchi yenyewe imekaa kisanii
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Chadema hakuna kukutana na jitu lililokwiba kura
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  JK anataka akutane na CHADEMA?
  Good move, CHADEMA itumieni hiyo fursa vyema kama ni kweli..
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Makamba ni zigo kwa chichiem........................................tatizo ni elimu ndogo na kukosa hekima........................
   
Loading...