Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
wewe naye muda wako unakuja!!!!!!Hamis Andrea kuwa makini!!!tunaokujua tunajua kabisa muda wako unakuja!!!!!!!utalia tu!!!maneno gani hayo bwana andrea!!!!hayo uneongea wakati ule !!!unalala PANGANI,UNAOGA LUKUREDI!
Watanzania bana full of intimidations and all that; hivi kwa ni nini huwa tunakuwa wepesi kuweka hoja pembeni na kuattack mtu hili jukwaa bana linatumiwa tofauti kabisa manake Siasa ni kuvumiliana imagine unamwambia mtu wakati wake unakuja sasa we unazungumzia wakati unakuja ilhali yeye ameshakuwa?? Kwani yeye kasema atakaa hapo maisha yake?? Embu tuwe strict kwenye hoja bana. Niwatake radhi wanajamvi manake na mimi imenipasa nitoke nje ya mada kwa ajili ya kupeana ushauri....
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
Nimezi'miss sana pumba zake,maana mzee kwa pumba ni kiboko!pepon kuna kazi gani tena!yeye amejuaje?
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
Dr. Hamisi Kigwangalla, MD, MPH, MBA
Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi...!
Samahani Daktari,
Hii ni nini (blue?
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
Inawezekana hata yeye hajui maana yake,siku hizi tuna madocta wengi wa vyeti.
ila naweza kumuunga mkono huyu mzee japokuwa tuna matatizo ya uongozi ni kweli viongozi wetu wameishiwa mawazo na maarifa ila sisi tufanye kazi kwa bidii basi tuachane na malalamiko hayo?maana hayasaidii kitu,watu wanakaa vijiweni hiyo hali nzuri itakujaje?Unategemea huyu babu atasema nini tofauti na hicho! yeye ni mmoja wa ma-engineer wa hii hali ngumu tuliyonayo sasa!!
Haya ni maoni ya Mh H.Kigwangalla.Ndio wabunge waliochaguliwa
kujadili na kupanga mbinu za kunyanyua uchumi wa nchi.mawazo ndo haya. ....kweli tutafika.
Kama ndio hivyo kwanini tunapoteza fedha kufanya uchaguzi wa viongozi, kwa nini tuwe na viongozi wakati inatakiwa tujitafutie wenyewe!!?
hahahahhahhaaaa the spinning pro., aliwakomesha kweli hao waandishi wa habari!
Vilevile amewataka waache kumlalamikia Rais J.M.Kikwete kwamba kashindwa kuyafanya maisha yao kuwa bora,kwani hilo si jukumu la rais Kikwete bali ni jukumu la kila mwananchi kunyanyua maisha yake bila kuitegemea serikali au Rais J.M.Kikwete.