Makamanda wapokewa - kweli people's power si mchezo ! Kaeni chonjo magamba !

Safi sana picha zimependeza na nyomi ni la uhakika magamba washindwe na walegee, Big Up CDM keep it up na kura lazima zilindwe kwa mbinu zote

Nimefurahi kuona picha za wengi waliopo ni watu wazima tofauti na magamba ambapo wanajaa watoto tu. Jamani nielewesheni kuhusu hali ya voters id. isije ikawa watu wanjaa halafu hawapigi kura isije ikala kwetu halafu magamba wakajisifia bure!
 
Hizi ni salaam kwa magamba popote walipo
Kila aina ya hujuma, wizi na ufisadi muufanyao
Kwa kutumia rushwa, takrima, ulaghai na posho
Kuwapakazia wapigania haki shutuma za uwongo
Lazima mjue kuwa kuna siku mtadaiwa malipo
Hiyo siku yawezekana isiwe mbali bali ni kesho
Hawa wananchi waliojawa hasira na kinyongo
Hawatakuwa na huruma kwa yote myafanyayo
Adhabu itakayowafaa magamba si nyingine bali kifo.




attachment.php





attachment.php







attachment.php





attachment.php










attachment.php





A luta continua !!
hadi raha jamani Jimbo la Igunga limeenda chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Na hii ni sasa hata milele!!!! Mwendo huu wa CDM!!!! CCM itaangamia mpaka pale akili zitakapo warudia...!!!
 
Nilijua mwisho wa hiyo ni kutaka ufahalai wa kijinga kwamba niliwalaza ndani,hayo ni mambo ya kishamba na ya kijinga kabisa kwani ukiwalaza ndani halafu ndo nini?wewe DC? umeongopa na vibaraka wenu wa-formulate kesi mara lugha ya ,matusi mara wameniibia cheni kwanza cheni gani hiyo ya kichina?njoo DAR tukununulie hata tani moja ya cheni za aina hiyo na simu yako ya kichina unayodai inathamani ya laki nne,sasa yako wapi si wametoka makamanda wetu?na nakuambieni nyie pale mtashinda kwa ufisadi wenu lakini tunacho-count ni watu kiasi gani wamepata ukweli jinsi nchi mnavyoiendesha n Ufisadi wenu mnaofanya na magamba yenu magumu yalowashinda wenyewe.
Kama watu wangeliona kweli wewe bibi,Dc na kada usie na aibu ya uongo,ulitegemea watu wangeliwapokea kiasi hicho?ila kila siku nawaambieni Mungu haja laa na days are numbered,and Time will tell,tutaona,hakika mwana wa Adamu hatendelea kudhulumiwa kwa kiasi hicho na haki siku zote inashinda hata kama ni kwa kuwapoteza wengine,tutashinda tu.
Hta we dogo Nape au Nepi,niambie nakuuliza tena na leo,Mjadala wa Richmond Monduli uliishaje?maana beki six alisema mjadala umefungwa,je ulifungwaje?na je nakuuliza tena siku tisini za magamba hazijaaisha?vipi kuhusu Dowans,APTL,SONGAS,UDA,KUPIGWA KWA OCD WA MASWA ALIEPIGWA NA MGOMBEA WA CCM?Je ungependa nikupe na mengine?Rada je,ndge ya raisi,mikataba ya madini?uchaguzi wa meya Arusha,halafu we dogo Nakuchukia sana ngoja niishie hapo lakin kila siku huwezi kunijibu?sasa kwa taarifa yako kampeni meneja wa CDM na kamanda Suzy wametoka,je unasemaje juu ya hilo?achilia mbali kuna kesi itaendelea juu yao.vipi kuhusu vijana wako ulokuwa unawafundisha ugaidi pale Singida umeshawapeleka Igunga?tujulishane,maana usije ukashindwa kukamilisha dhamira yako kwa kudhani umejiaandaa vya kutosha,sisi tunahangaika tu na maisha mloyafanya kuwa magumu hatuhitaji kuingia kambini,ugumu wa maisha tayari ni depo tayari ni kambi tuko tayari,ila we weka wazi siku,saa na muda.
Songeni mbele makamanda wote wa Chadema tuko nanyi daima.
 
haya sasa nataka niskie vile vijitu vinavyosema eti CHADEMA wanakusanya watoto, kuna mtoto hapo? watu na sharubu zao hao bhana na hilo basi unaloliona lipo kwenye safari zake sio kuwa limebeba watu kuwaleta shughulini kama Magamba.....
 
Duh!hichi chama kinatisha kwa jinsi kinavyokua haraka!kauli ya DC wa Igunga kwamba serikali ifanye kila iwezaro ili kukifuta hiki chama kama inataka kuendelea kutawala si ya kupuuzwa hata kidogo!
 
Eeh Mungu hivi hii NYOMI ya watu kweli imeshaelimika vya kutosha kufahamu kuwa CDM ni chama cha ukomboziiii? Wasaidie eeh Mwenyeenzi Mungu Uwafumbue watu wa Igunga Bongo na akili zao. Waelewe,watambue,wapembue chuya na mchle, waweke makapi pembeni.....Tuepushe na MAGAMBA ee MOLA!.........Tazama Magamba wamegeuka kuwa mama ntilie wakihonga watu WALI na PILAU eh MOLA waadhibu kwa kuwa Wewe hupendi Rushwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom