Makamanda wapokewa - kweli people's power si mchezo ! Kaeni chonjo magamba !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,713
22,027
Hizi ni salaam kwa magamba popote walipo
Kila aina ya hujuma, wizi na ufisadi muufanyao
Kwa kutumia rushwa, takrima, ulaghai na posho
Kuwapakazia wapigania haki shutuma za uwongo
Lazima mjue kuwa kuna siku mtadaiwa malipo
Hiyo siku yawezekana isiwe mbali bali ni kesho
Hawa wananchi waliojawa hasira na kinyongo
Hawatakuwa na huruma kwa yote myafanyayo
Adhabu itakayowafaa magamba si nyingine bali kifo.

View attachment 37551<!--[if !mso]> <style> v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} </style> <![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:punctuationKerning/> <w:ValidateAgainstSchemas/> <w:SaveIfXMLInvalid>false</w:SaveIfXMLInvalid> <w:IgnoreMixedContent>false</w:IgnoreMixedContent> <w:AlwaysShowPlaceholderText>false</w:AlwaysShowPlaceholderText> <w:Compatibility> <w:BreakWrappedTables/> <w:SnapToGridInCell/> <w:WrapTextWithPunct/> <w:UseAsianBreakRules/> <w:DontGrowAutofit/> </w:Compatibility> <w:BrowserLevel>MicrosoftInternetExplorer4</w:BrowserLevel> </w:WordDocument> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 9]><xml> <w:LatentStyles DefLockedState="false" LatentStyleCount="156"> </w:LatentStyles> </xml><![endif]--><!--[if gte mso 10]> <style> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;} </style> <![endif]-->
IMG_1702.JPG


IMG_1711.JPG


IMG_1737.JPG
attachment.phpattachment.php

attachment.phpattachment.php
attachment.phpA luta continua !!
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,645
67,916
Imekaaa njema lakini ITV hawajaripoti hii kitu na wanadai eti wako Tabora -Mahakamni, yaani wameshindwa kupata updates kabisa au iko namna?
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,724
kazi nzuri sana wana Igunga...hii inaonyesha hamjadanganyika na wali na maharage za nape...
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,359
Niwajibu wetu vijana kutafuta mstakabadhi wetu na vizazi vijavyo peoplesss powerrr!
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,724
Imekaaa njema lakini ITV hawajaripoti hii kitu na wanadai eti wako Tabora -Mahakamni, yaani wameshindwa kupata updates kabisa au iko namna?
watabana lakini wataachia tu..tbc taifa jana na leo wanazungumzia campeni za ccm akihutubia mgombea wa ccm ikifika upande wa cdm wanazungumzia mabaya sasa hapa haki iko wapi kama wanajua kutangaza mabaya kwanini hawakutangaza uzinzi wa mwigulu zidi ya mke wa kada mwenzake wa ccm..
 

Kicheruka

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
791
93
Safi sana picha zimependeza na nyomi ni la uhakika magamba washindwe na walegee, Big Up CDM keep it up na kura lazima zilindwe kwa mbinu zote
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,656
6,365
Naumiza kichwa jinsi ya kulinda kura zetu,maana Magamba wana mbinu za kijambaz za kutuibia wakishirikiana na Intelijensia ya mwem.ila tutapigania haki usiku na mchana,ikibidi kuwa adabisha watu aina ya D.C WA IGUNGA! Pipoooooooooooooozzzzz!
 

MpigaFilimbi

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
1,169
180
..inatia moyo kuona kuwa watu wanataka mabadiliko. CCM inadhani inaweza kuendelea kudanganya watu siku zote!!
 

gmosha48

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,399
1,470
Ama kweli nimeamini kuwa mwisho wa ubaya ni aibu! Yaani ni kama CCM na Dola kwa ujumla wanafanya kazi ya kuipromote CDM bila kujua. Kila hujuma wanayokuja nayo mwisho wake inakuwa ni gia ya CDM kuchanja mbuga. Gamba linahenyeshwa kisawasawa.
 

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
554
kweli huu mtiti balaa! tunawaombea na kwenye upigaji kura watiririke hivi hivi, CDM wachochee dhana ya mabadiliko nchi nzima hata baada ya uchaguzi huu mdogo wafanye mikutano, niliona moja ya Mwanza ni balaa nayo
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Top Bottom