Makamanda nisaidieni: Hivi " Peoples power" ni lazima iendane na uporaji? Au ndio sababu Polisi huzuia maandamano yenu!

Kwenye maandamano yoyote lazima kuwe na watu wengine wenye malengo tofauti na malengo kusudiwa, Wahenga walisema kwenye msururu wa mamba kenge hawakosekani. Vibaka, wahuni nk ndio Kenge.
Kenge unamaanisha Lema, Sugu au una maana nyingine!
 
Nakwambiaje, Kila siku katika opereations duniani watu wanakufa je dunia imewahi kusema kwamba operations za wagonjwa ni haramu?? Maana yake ni nini??- ni kwamba katika kila jambo jema pia kuna uwezekano wa kutokea kasoro, kinachoangaliwa ni je kasoro na faida kipi kimeshamiri baada ya udhibiti wa hizo kasoro, Sasa katika maandamano inatakiwa Waandamanaji kwanza waeleze kusudi la maandamano, pili Polisi wajulishwe ili wao wafanye kazi ya usalama wa kuwalinda waandamaji na kudhibiti watu wabaya wanaoweza kujipenyeza katika maandamano kwa nia ya kufanya uhalifu wowote.

Kumbuka maandamano yapo kisheria. that is all I can say.
Nimekuelewa bwashee!
 
Kwenye maandamano uporaji hauepukiki tofauti na operation bwashee!
Mkuu unachekesha na kupotosha. Tumeona maandamano mengi toka tulipopata uhuru ambayo hayana uporaji. Na kumbuka kwa Tanzani wanaotaka kuandamana wanatakiwa kutoa taarifs polisi kupatiwa ulinzi.
 
Mkuu unachekesha na kupotosha. Tumeona maandamano mengi toka tulipopata uhuru ambayo hayana uporaji. Na kumbuka kwa Tanzani wanaotaka kuandamana wanatakiwa kutoa taarifs polisi kupatiwa ulinzi.
Umeshasema yana kibali cha polisi!
 
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na Polisi.

Niwaombe makamanda mkieemo Tindo, Allen Kilevela, mmawia, G.sam, Mrangi nk mkuje mnipe darasa kidogo mnapozungumzia nguvu ya Umma mnamaanisha nini?

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Google
 
Nimekuelewa bwashee kenge tuliwaona pale kisutu kwenye ile kesi.....wengine walilipiwa faini na akina mzee Mgaya wa Lumumba!
Acha uzushi
Naona unamtafutia mjomba wako mgaya kik
Hivi unajua Ile oya oya inayotoka taifa Kwan wote ni washangiliaji vibaka lazima wajichomeke

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia.

Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini Chadema...... au ndio peoples power inayohofiwa na Polisi.

Niwaombe makamanda mkieemo Tindo, Allen Kilevela, mmawia, G.sam, Mrangi nk mkuje mnipe darasa kidogo mnapozungumzia nguvu ya Umma mnamaanisha nini?

Nawatakia Pentecoste yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Na maccm kwenye mikutano yenu lazima mufanye ufuska?
 
Use common sense.
IMG_20200601_172659.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom