Makamanda mbona hamsomeki?

HAHAHA KESHO WATAAMKA NA MATUSI KWA MAMA WA TAIFA. KAWAPIGA UTOSINI, HUYO NDIYO MAMA BHANA ANAPIGA MIGUU YOTE, KAWAAHIDI WENGI WANAKUJA. NITACHEKAJE MIE, NDIYO MAANA NAIPENDA CCM SABABU INAJUA KUCHUKUA USHINDI KWA WAKATI MUAFAKA. KARIBUNI KWA MAZUNGUMZO YA MUAFAKA WA SIASA SOON, MUALIKO UTAPELEKWA KWA SHIBUDA HALAFU SHIBUDA ATAWAALIKA NYIE.
CCM JABARI LA SIASA AFRIKA. MKITAKA KATIBA MPYA TUTAWAALIKA KWENYE MCHAKATO
 
Hivi makamanda walifikiri mama ataanza kuimba people's au?
 
chadema kwisha habari yao viongozi wamekimbia nchi waliobaki wanabaki kubweka tu na kina mdee hawana kazi za kufanya badala ya kuimarisha chama wao kazi ni kina mdee kila siku uchaguzi ukifika mtasema mmeibiwa kura wakati hamzitafuti sasahivi
Mku kutafuta kura bado sana kwani uchaguzi ni lini?
 
CHADEMA LEO KIPIGO HIKI NI SAWA NA AC ROMA KWA MANCHESTER UNITED. TUNAWAONYA MSIJE NA MATUSI YENU HIYO NDIYO CCM HUWA INAADHIBU VIBAYAAAA
 
Upinzani wanaicheza ngoma ya mama
Means hawana hoja sasa wahamie wote ccm rasmi.
Peoples wanajaribu kuimba tu maana hawana uhakika yakesho itakuwaje huenda mama yetu akaruhusu mandamano. Hapo ndo tunasubiria jibu litakuwaje.
 
Hahaaaa safi!

Wote makamanda a Nyalandu wanaunga mkono kazi za mama!

Sasa kwa nini wanune kisa tu Nyalandu karudi CCM?

Post zetu ziko humu humu jukwaani na hatukuwa tunamfagilia, huyo Nyalandu hakuwa na mvuto wowote ndani ya cdm. Na hakuna yoyote aliyenuna kwa Nyalandu kurudi ccm bali watu wanamwita mpigania tumbo tu. Ushahidi kuwa Nyalandu hakuwa na mvuto huko cdm, ni zile safari zake alizozunguka nchi nzima kutafuta watu wa kumuunga mkono ili kugombea urais kupitia cdm, ukiacha watu aliokuwa anazunguka nao kwenye lile basi lake chakavu, hakuwa na mvuto hata chembe.
 
Chausiku nakuona unavyodemka 🤣

 
Siasa inahitaji misingi iliyokomaa na ajenda zenye mantiki zinazopatana uhalisia wa mazingira ya nyakati husika na zijazo.....unapotoka nje ya misingi hiyo ya kisiasa.....unageuka kuwa mwanasiasa bendera kuelekea upepo unapovuma........

NB;
MWANASIASA MAHIRI ANAONGOZWA NA AJENDA NA SIO MATUKIO....
 
Mimi sio kamanda
Ila
Mbowe
Lissu
Lowasa
Shibuda
Sumaye

Sikuwahi kuamini kuwa huwa ni wapinzani wa CCM
 
Mambo ni mengi mda hautoshi , tunaendelea kuisubiria Tanzania isiyopatikana ,unastukia mara paap huyoo Kaburini, unashuka na matumaini yako hewa
 
Vipi Nyarandu atakuwa kanunuliwa ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…