PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CPA Makalla ametoa rai hiyo akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya kikazi ambapo amesema nchi ikiwa haina amani na utulivu hakuna maendeleo yoyote yanayoweza kupatikana huku akasisistiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

View attachment 3326027
No reform no election
 
Hiki kinachoitwa amani ni kwa ajiri yao wezi wa mali ya umma, kikinuka wao wana cha kupoteza lazima waimbe wimbo wa amani kila uchao!
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo.

CPA Makalla ametoa rai hiyo akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya kikazi ambapo amesema nchi ikiwa haina amani na utulivu hakuna maendeleo yoyote yanayoweza kupatikana huku akasisistiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
View attachment 3326027
anayeteka, kupoteza na kuuwa raia ndiye anayechafua amani ya tanzania
 
Tudumishe haki kwanza hayo mengine yamo ndani ya haki!!
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CPA Makalla ametoa rai hiyo akiwa mkoani Morogoro katika ziara ya kikazi ambapo amesema nchi ikiwa haina amani na utulivu hakuna maendeleo yoyote yanayoweza kupatikana huku akasisistiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
FB_IMG_1746541920024.jpg
 
Back
Top Bottom