PreGE2025 Makalla: CCM isihushishwe na vurugu zilizotokea Tabora kwenye mkutano wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche

Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Lazima com wapagawe
downloadfile-1.png
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche

Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Makala sio mda atashindwa kula hata nyama ,atafedheheshwa sana asema Bwana
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche

Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Wezi wote huwa wanakana kuhusika na wizi huko mahakamani kabla ya kutiwa hatiani...
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche

Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Walimchukua maelezo na ushahidi upo.

Makalla punguza hayo mashavu ukamilike.
 
Back
Top Bottom