Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 980
- 3,646
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa
''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai.
Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya kijinai kwa kuwaambia Watanzania kwamba CHADEMA inachangisha tone tone ili inunue virusi vya MPOX na EBOLA ili uchaguzi ukikaribia Watanzania wafe''
Kuhusu kauli hiyo, soma Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Pia soma > John Heche: Awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi