Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Kipipi mume wangu anahusika vipi na makalio makubwa mbona wamwita
ngoja harudi atanieleza vizuriAma kweli bidada mumeo kakuchanganya.
Yaani mi nilimwitaga siku nyingi hivo kabla hata hajakuwowa?
Alisema mwenyewe anayapenda
ngoja harudi atanieleza vizuri
Kipipi wewe mwishoooooooooooooMakusudi gani bana we mpokee mwana mpotevu huyo.
Heheh umeelewa sasa jinsi ninavyokujali? Nakumbuka katika watu waliowahi kuniuliza mara nyingi ni wewe.
Nadhani umemuona kwa mbali.
Haya jiandae kumpokea rasmi!
naona kaamua kujitokeza mwenyewe
Hima kwa hima angaza ukampime kwanza.
muulize kiwatengu anayajua mali yake hii
Cha mtu huliwa na mtu mti huliwa na mchwa. Mia
umeona ee sana tu
Naomba uniazime kitu chako nitwangie udaga. Mtwangio ninao. Mia
Naomba uniazime kitu chako nitwangie udaga. Mtwangio ninao. Mia
kaka umenionea wapi Heaven on earth?
Kuna ile sound inayotoka wakati umemuweka mbuzi kagoma kwenda..
my wii my wii niko hapa nafatilia tu huu mchezo kaka ako figganigga anaoufanya......