Makalio yananitega!


Tangazo lako limetufikia...
 
Kuyashika shika na kuyabinya,halafu yalivyoumbika tu yanaongeza mzuka balaa
 
Hayohayo.. wengine wanayaita ngongingo...! Nimeuliza ili nisije nikawa siyatendei haki... Huwa nakutana nayo. Sio mbaya hata wakina dada wenye nayo watumegee watuambie wangependa yatumiweje...! Kuibeba kila siku kama haitumiwi vizuri ni hasara...
 
Ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa either kwene game au ps
 
Hivi hayafai kumodel LOL

Angalia kina Flaviana, Millen Magesse, Nancy Sumari, Lisa Jensen, Miriam Odemba na Genevieve Nnaji . . . just to mention a few. Umeona wanavyobamba kwenye modelling industry??

But, kuna wengine wanayo ya kichokozi tu kama Choprah!
Kwa hayo makubwa kabisa . . .mmh sijui kwakweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…