Makalio yageuka SMG kwa wasichana Mjini

Makalio yageuka SMG kwa wasichana Mjini

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ebu tujiulize swala moja vitukuu wa MMU.Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k.

Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini kutunasa? We wafuatilie watembeapo huzungusha makalio, wapigapo picha hubinuwa makalio,walalapo kitandani huyaweka makalio yao juu juu. Hivi ina maana makalio yenu yamegeka silaha yenu? Na hii imewachangia baadhi ya wanaumme wawaze kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Unakuta mwanamke kwa sura mzuri lakini kama ni flat screen anapoteza confidence kabisa. At the same time unaweza kumkuta mwanamke sura ngumu imekunjamana kama kalamba ndimu. Lakini kwa sababu kajaliwa makalio mbinuko anajiamini kiburi juu. Makalio a.k.a wowowo ni SMG kwenu? Njooni wasichana/ wanaume mtafsiri.
 
Sasa wakilala kama wanayabinua juu wewe unayapnaje huko walipolala?acha fix
 
Sasa wakilala kama wanayabinua juu wewe unayapnaje huko walipolala?acha fix

Wakati natafiti niliwavuruga kweli kweli,wote swagger yao ni moja tu,Hawana janja ingine
Mwendo ni kubinua mkia tu kuna siri gani kwenye hiyo mikia?
 
Haaahaa labda yana soko ndio maana wanayaona kama silaha Demand vs Price. Ila bora Upewe akili tu mjini parahisi sana.
 
Haaahaa labda yana soko ndio maana wanayaona kama silaha Demand vs Price. Ila bora Upewe akili tu mjini parahisi sana.

Waliopewa akili wakanyimwa makalio wapo kwenye dimbwi la huzuni kubwa
Ndio maana wengine hufanya njia mbadala kuyapata
 
Potelea mbali kwa kweli cha kwanza kwa mimi kumtathimini demu yoyote ni uzuri wa wowowo lake, itafuata ngozi yake baada ya hapo ndio sura na vitu vingine
 
1421238669068.jpg
 
Hahahahaha mwingine unakuta anatutako kama mayai ya kware lkn anayabinua balaa hususan kwenye kupiga picha ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom