Makalio makubwa

dack dack

Member
Mar 1, 2013
24
3
Makalio makubwa yanafaida gani katika mapenzi, maana mi naona watu hupenda makalio au wenzangu mnayatumia hayo mnapo du, au ndio mambo ya jicho la ngombe
 
karibu mgeni...uzi wako huu una jukwaa lake MMU nadhani ungepitia kwanza huko ukasoma then usingepotea njia wala kuanzisha duplicate
 
dogo yana raha yake, ukikosa balance unayashika ili usianguke pale una piii z:biggrin:
 
Makalio makubwa yanafaida gani katika mapenzi, maana mi naona watu hupenda makalio au wenzangu mnayatumia hayo mnapo du, au ndio mambo ya jicho la ngombe

Hii mada imeshajadiliwa sana hapa ndani. embu jaribu kupekua pekua makabrasha utapata sababu nyingi sana. Niliwahi kuanzisha mada kama hii mwaka jana. mwaka huu tunataka mada mpya na zenye kuchangamsha jamvi.

Makalio makubwa, Makalio makubwa! Heeeeeeeeeeh! Tuacheni tupumue huu ni uumbaji wa mungu, hatukujiumba wenyewe, mnatunyanyasa sana na haya makalio, huku mnayasema huku mnayatamani tuwaelewe vipi???????????????? Maana wengine wanadai yananuka, wengine yana maji, Lakini kutwa mnayafuata, mnayatakia nn. NASEMA TUACHENI NA MAKALIO YETU MAKUBWA. SISI WALA HAYATUCHOSHI.

Cc Maddame B
 
Mi kama una makalio makubwa ishia huko wala usinikaribie... Sipendi kuongozana na sinema barabarani....
Nasema siongei tena na wewe, maana umenitukana matusi ya nguoni , kuwa huwezi kuongozana nami maana mm sinema! !!! Na Utaona wewe Wiyelele!!!!!!:shut-mouth::shut-mouth:Nimekununia
 
Makalio makubwa, Makalio makubwa! Heeeeeeeeeeh! Tuacheni tupumue huu ni uumbaji wa mungu, hatukujiumba wenyewe, mnatunyanyasa sana na haya makalio, huku mnayasema huku mnayatamani tuwaelewe vipi???????????????? Maana wengine wanadai yananuka, wengine yana maji, Lakini kutwa mnayafuata, mnayatakia nn. NASEMA TUACHENI NA MAKALIO YETU MAKUBWA. SISI WALA HAYATUCHOSHI.

Cc Maddame B

Wanaosema yananuka wanawafuata mama ntilie barabarani. They go for cheap products hao ni matatizo yao. Nadhani yasiwe makuuubwaaa sana jamani maana kuna baadhi nawaona wakitembea mitaani unawaonea huruma! Mi mbona mfupi wangu anayo yanayomfaa maana asingekuwa nayo haaa angekuwa shapeless!

Wanaosema yanamaji! Kha! labda hao wanakiu ya maji... Hao nashindwa kuwaelewa...
 
Nasema siongei tena na wewe, maana umenitukana matusi ya nguoni , kuwa huwezi kuongozana nami maana mm sinema! !!! Na Utaona wewe Wiyelele!!!!!!:shut-mouth::shut-mouth:Nimekununia

Haa sio vizuri kununa weekend. Huwa tunanuna Jtatu! Lisa, mbona we nakuona unapendeza sana! Siwezi kukusema wewe hata kidogo! We una shape nzuri, hata ungesema tu "WIYELELE, leo naamua kuwa air conditioner yako" heee hapo hapo unapata ka VITZ....
 
Haahahahahahaahahahahaaaaa! Yaani huwa unanifanya nicheke sana, ni we Air condition wako, naona unatafuta kufyekwa dushelele lako na baba K. Loh! Hiyo VITZ NAITAKA, ILA NITUSHIE KWENYE MPESA KAMA INWEZA KUSAFIRI KWA NJIA HIYO. KAMA HAIWEZEKANI, NIELEKEZE YARD GANI NIENDE KUICHUKUA.
 
mimi huwa napenda kuyatizama tuu kwa nje...lakini kwa ndani!!mmmh..kichuguu si kichuguu...mlima si mlima!!bonde si bonde..basi balaa tupu..raha ni kutizama ikiwa ndani ya nguo
 
Haahahahahahaahahahahaaaaa! Yaani huwa unanifanya nicheke sana, ni we Air condition wako, naona unatafuta kufyekwa dushelele lako na baba K. Loh! Hiyo VITZ NAITAKA, ILA NITUSHIE KWENYE MPESA KAMA INWEZA KUSAFIRI KWA NJIA HIYO. KAMA HAIWEZEKANI, NIELEKEZE YARD GANI NIENDE KUICHUKUA.

Hahaha, nitahitaji kukukabidhi mwenyewe. Raha ya zawadi ukabidhiwe kwa mikono ni si kuikuta kitandani! Unaonaje ukiletewa ua, halafu ukaambiwa lifuate sebuleni? Yaani haiwi zawadi "maalumu" tena! Tena nadhani unakicheko kizuri, kinachovutia... Wakati mwingine nawaza kwamba au huyu Lisa ndo anako kale kasauti kazuri ninako kasikia kila alfajiri? Kananikaribia kwenye sikio, nakuniita "WIYELELE" , basi moyo unakua wenye furaha tele siku hiyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom