Makala za Tanzania Daima ni mwiba kwa JK

makala nzuri
my take:
kwenye mgogolo wa kuchinja tunasema hatutaki mazoea eti kwa kuwa waislam wanataka tuendelee kufanya kama zamani,
lakini kumbukeni katika sensa mwaka jana tulitetea kusema miaka mingi tumefanya sensa bila kuingiza kipengere cha dini kwa hiyo mazoea yalizuia kuweka kile kipengere cha dini sasa tunashindwa nini kuchukulia suala la uchinjaji ni mazoea na kuwaachia waislam waendelee kuchinja?
 
Kazet la nan? Na ana maslah gan?

Maslai kivipi na gazeti la nani kivipi? Usiwe na akili ya m.a.i.t.i wewe kwani ameandika kipi kibaya au ni uongo? Uwe unaonaga aibu nyie magamba mkubali ukweli. Waswahili wanasema ukweli ni mchungu. Jk meza huo ukweli wake up baba yetu j.k nchi inakufia.
 
makala nzuri
my take:
kwenye mgogolo wa kuchinja tunasema hatutaki mazoea eti kwa kuwa waislam wanataka tuendelee kufanya kama zamani,
lakini kumbukeni katika sensa mwaka jana tulitetea kusema miaka mingi tumefanya sensa bila kuingiza kipengere cha dini kwa hiyo mazoea yalizuia kuweka kile kipengere cha dini sasa tunashindwa nini kuchukulia suala la uchinjaji ni mazoea na kuwaachia waislam waendelee kuchinja?

Mkuu ni vyema ukafuatilia chanzo cha choko choko hizi za nani achinje kuliko kutoa majibu mapesi kwenye swali gumu. Ukipata nafasi rejea post za nyuma tumechangia sana kuhusiana na hii mada. Ila kwa leo naomba nikukumbushe ya kuwa chanzo cha huu mgogoro ni Steven Masatu Wasira.

Mara baada ya kuwasili jijini Mwanza, Wasira alikutana na viongozi wote wa kidini wa pande zote mbili, cha kusikitisha maamuzi yake yalighubikwa na ubabe na vitisho kuliko busara na hekima; Hali ya hewa ilichafuka rasmi pale alipotangaza hadharani ya kuwa wenye haki ya kuchinja ni Waislam kwani kuchinja ni sehemu ya ibada yao, hapo ndipo Wakristu walipo amushwa kutoka usingizini, nao wakasema hawapo tayari kulazimishwa kushiriki ibada ya miungu wengine.

Asante kwa kunielewa mkuu !!
 
Pascally Mayella au Pascally Mayallah? Mkuu wangu Pasco, hebu nifafanunulie hapa!
 
Last edited by a moderator:
[/
Rais wangu ulipohutubu ulisema
ulisomewa itikafu katika misikiti mitatu ili ufe. Kwa hakika hii ni habari mbaya kabisa. Maamuma wote hawajui kuwa kifo cha mwanadamu hupangwa na Mwenyezi Mungu. Nakuombea afya njema Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu.
QUOTE]

Hapo patamu, Mugu asikie hizi sala ili tumpate mwingine anayewajibika. TWAKUOMBA UTUSIKIE
 
Jamaa,kawapa za uso.hapo lazima aitwe mchochezi.

Ila kwa kuwa hawana AKILI, hakuna ambacho kitafanyika, zaidi ya kusema kuwa hilo ni gazeti la MBOWE, hakuna kingine ambacho watakifanya, yaani nchi hii ukiwa mpinzani, hata uwe na ushauri wa kuiinua nchi hii kiuchumi kwa siku kumi, hakuna mtu ambaye yuko kwenye CHAMA TAWALA, anaweza kukusikiliza, ONLY IN TZ!!!
 
Hahaha sasa njama za wanamaombi mlitaka Usalama wa Taifa wamkamate Sheikh eti kisa kamuombea dua mbaya JK?

Au wamkamate mganga wa kienyeji kisa anamroga JK? halafu mahakamani ushahidi nini Quran? hahaha

Haya magazeti ya udaku mimi huwa sisomi

Rais kasema aliombewa vibaya. Je kama wamefikia kumuombea vibaya kuna ugumu gani kupanga mengine?
 
makala nzuri
my take:
kwenye mgogolo wa kuchinja tunasema hatutaki mazoea eti kwa kuwa waislam wanataka tuendelee kufanya kama zamani, lakini kumbukeni katika sensa mwaka jana tulitetea kusema miaka mingi tumefanya sensa bila kuingiza kipengere cha dini kwa hiyo mazoea yalizuia kuweka kile kipengere cha dini sasa tunashindwa nini kuchukulia suala la uchinjaji ni mazoea na kuwaachia waislam waendelee kuchinja?

Wazo zuri!!

Lakini sensa si ILIGOMEWA NA WAISLAMU?!

Kinachogomba ni majibu ya kejeri ya waislamu, mara ooh hatuli nyama iliyochinjwa na mtu asiyetahiriwa, wakristo makafiri, wakristo hawana haki ya kuchinja.... Haya ni baadhi ya majibu ya kipuuzi!.. Nani kawaamulia wakristo wawe wafuasi wa siri wa UISLAMU?!!
 
Inasikitisha kuona watu wanakufa serikali haishituki, eti kuunda tume! na kutoa vyeti kwa waokoaji. Kuonyesha kwamba serikali haijali hata siku ghorofa linaporomoka TV binafsi ndo walio katiza ratiba ya vipindi kwa siku na kuonyesha live kilichokuwa kinaendelea eneo la ajali huku TBC(CHOMBO CHA UMMA) wakiendelea na ratiba yao kama kawaida. MUNGU atusaidie maana tunakoelekea hali si nzuri.
 
Back
Top Bottom