Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
Mnavyopenda kuburuzwa hadi mnatia kinyaa. Eti maCEO wote kuacha kuropoka. Uko timamu kweli wewe?sioni kama kuna kuonewa hapo, announcement kama ile ni dhahiri ingeleta panic kwa watanzania na watalii kwa ujumla, kama swala lenyewe ni pendemic, wanetangaza kama ilivyotangazwa Hepatitis B, kusingekuwa na mshtuko wowote, japo kwa upande wa pili mshtuko mkubwa umesababishwa na prompt reaction ya kumsimamisha kazi, kama wakubwa huko juu wangepuuza lile tamko, lisingekuwa na athari zozote, kama adhabu ingetolewa mbele ya safari, hata mwezi kabla.
Kwa upande mwingine message imetumwa kwa viongozi wote kuacha kuropoka ropoka kwenye media, maana matamko yalizidi, sasa matamko yakaanza ingia kwenye afya, now washaakaa kimya, hakuna matamko tena.