[HASHTAG]#KaaKimyaTukusemee[/HASHTAG] : TUTASEMA KWA FAIDA YA WATANZANIA IKIWEMO WEWE.
Mara naona picha ya Baba wa Taifa, nikadhani umeamua kulisemea Taifa. Baba wa Taifa hakukaa kimya, alikemea uovu. Kukaa kimya wakati jamii inakuona wewe ni wakwao ni usaliti kwa jamii, unakosea kumuweka Baba wa Taifa. Ungeweka picha ya mijitu mingine mioga, minafiki na yenye tabia za kichawachawa kama aliyekuwa bosi wa kundi la Manzese.
Ndani ya wimbo wako unasema kisa Ulezi, na kweli kaa kimya kwa faida ya mlezi wako. Mlezi wako alipobaka Demokrasia na kutengwa na wenye haki wewe ulimuita ofisini kwako ukaonyesha mitandaoni ili tumuongelee. Kiki ile ilipokwama meneja wako akatumwa kuhadaa wasanii ili mlezi wako ajifanye anarudisha msanii aliyetekwa.
Ndio wewe kaa kimya, lakini usitumike kutunyamazisha. Hatutakaaa Kimya, kwa sababu haya yanatuhusu. Wewe si hayakuhusu ndo mana unakaa kimya. Najiuliza siku yakikukuta wewe, au yamkute Mganda wako na watu wengine wa karibu yako, hata hapo utakaa kimya?. [HASHTAG]#KaaKimyaTukusemee[/HASHTAG].
Sote tukikaa kimya hakutakuwa na wa kukuokoa hata wewe. Kukaa kimya unakaa kwa faida ya nani? Mlezi wako unaejaribu kumrudisha kwenye 'headlines' baada ya kutengwa na 'public'. Unakaa kimya ? . Kaa ivyo ivyo : umepanda gari la Shiiite, nyimbo sauti zenu kwenye gari hilo ni kelele hata kwa wapita njia. Bora mkae kimya kwa kuwa mmeshindwa kumsafisha dereva wenu ( [HASHTAG]#ShiteExpress[/HASHTAG] ).
[HASHTAG]#KaaKimyaTukusemee[/HASHTAG] : Wakati wa vita tunatarajia kina Mama na Watoto kukaa kimya, tena wanakaa nyumbani. Wewe umechagua tabia ya Umama kwa sababu tayari una watoto japo wanakuita Baba, sisi tuko vitani TUTAKUSEMEA , ILA USITUMIKE KUTUNYAMAZISHA.