Hapa ndipo Ulaya itabaki kuwa ulaya, Makahaba wa Tz wanaovuka 50 ni ratio ya 1/100 na wanaofika 70 ni ratio ya 0/0 tena wanaangamia kwa UKIMWI ila ulaya hadi wanafikia umri wa kustaafu kwa heshima ya kazi. Ndio maana nawashauri waTz siyo kila wafanyacho wazungu tuige, wenzetu wanalindwa na mazingira