Jiulize ukienda kuangalia mpira uwanjani, unalipia au unakodishwa? Bila shaka unaweza kwenda sehemu ukakodi gari ukawa nalo na baadaye ukarudisha kwa wenyewe. Nini tofuati yake? Kulipia ina dhana ya kutumia pale pale na kukiacha hapo mfano huyo changudoa huondoki na hicho kiungo chake. Kukodisha ina dhana ya kuchukua hiyo bidhaa kwa muda fulani toka sehemu ilipo kwenda nayo sehemu yoyote na kuiridisha baada ya kutumia. Unaweza kukodi mkanda wa video ukaangalia nyumbani kwako na kuurudisha.