Makahaba Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makahaba Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by AK-47, Mar 7, 2012.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sex workers in Kenya have said they are ready to remit taxes to the government as long as they are recognised and their rights protected.

  The Kenya Sex Workers Alliance (KESWA) Tuesday argued that they are in an "industry that controls massive revenue" which would otherwise contribute to the economy of the country if tapped by the taxman.

  "There is a lot of revenue in the industry and we are ready to pay our taxes if the government decriminalises sex workers in this country," said Doughtie Ogutu, one of the KESWA founders.

  Their position came just weeks after Nairobi Mayor George Aladwa formed a committee to check whether prostitution should be legalised in the city.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wawaruhusu tu ili na tanzania tuige sababu zetu ni mikumbo tu...
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Tanzania wakiruhusu nachukua uraia wa nchi isiyoruhusu upuuzi huu ambao jirani zetu hupenda kuingia kwenye GUINNESS book of records!!!
   
 4. B

  Benaire JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unajua safari moja huanzisha nyingine....kuhalalisha ukahaba ndio utakuwa mwanzo wa kuhalalisha ushoga na usagaji kwani ni moja ya shughuli za prostitution!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa viongozi hao wa KESWA nao watakuwa ni miongoni mwa hao makahabaa au?
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  GOD forbid huu ushetani
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  once Kenya legalize it,Tanzania has no option-but to legitimise it
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi watawezaje kupima income yao kwa mwaka?
   
 9. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Sidhani Ukahaba inafaa ihalalishwe Kenya maana itafungua siasa za Domo Domo. Huyu Aladwa anatafuta kura ya mwaka 2013 March point blank, viongozi wako mbele katika kufikiria kwao usidhani ni chengine. Siasa hizi ni sawa na utapeli tu! kuchukua nafasi ukawatumie makahaba kutafuta kura. Wakati mwingine pengine ushoga utahalalishwa ndizo siasa zetu wakenya. Hizi Siasa ndio zinafaa ziangaliwe kwa kina na kukosolewa
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Na wa porn industry watafuatia, ama wao tayari wanalipa kodi?
   
 11. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  wa porn nadhani wamekuwa wanatoa kodi vile vile
   
 12. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Wahalalishe bana ili bei ipungue. Maana watu wanapata shida sana.
   
 13. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Huu ni ujinga tu;inabidi wafikirie vyanzo vingine vya mapato.
   
 14. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,543
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Nashukuru kwa taarifa Mzalendo452.
   
Loading...