Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima


Hapana, if that is your argument, can you comment on his capacity to own hammer vehicle and a helicopter. Unampotray kama mwenye very very limited income!
 

Wewe hujitambui kuwa unaliwa! Na ndiyo tatizo la walokole. Huyo Gwajima uaskofu alimpa nani? Anaamka anjiita askofu, mtume, nabii and the like!
 

NAMALIZIA, Biblia inasema "vya madhabahuni vitaliwa na wamadhabahuni" full stop

MKUU POLE SANA HESABU ULIYOFANYA NI YA KANISA LA KAWE TU ..ANA MAKANISA 42 NAYANA WATU KAMA UNAVYOONA KAWE EMBU KWENYE HESABU YAKO WAZIDISHE NA 42....

ALAFU NENDA KWA MCHUNGAJI WAKO MUULIZE HIVI UKIFA KUNA MEMA YA NCHI??ALAFU UJUE UKO KWENCHI AMA MBINGUNI ....UKIWWA KWENYE SYSTEM YA YESU MPWA NA WEWE UTAKUSANYA JIPANGE UACHE DHAMBI IOKOLEWE NA DAMU YA MWWANAKONDOO
 
ewe Zombie usiwe -----! Mungu yuko hadi hapo ulipo! Haihitaji sadaka yako umtolee Gwajima anunue Chopper za kuwalamba wake za watu ... Kuwa na Imani kuu kuwa Mungu yuko nawe katka kila ulitendalo na yeye ataendelea kubariki kazi za mikono yako!!! Vitisho na Sanaa zote mnazo fanyiwa ni ktk kuendeleza U-Zombie tu ili mtoe sadaka Zaidi ...

 
nini zombie niite majina yote! haitabadilisha uhalisia wangu! tukana kwa raha zako! ila ipo siku utagundua umuhimu wa ibada! hilo nakuhakikishia! ni kweli Mungu yupo kila mahali lakini nikujulishe tu...Mungu amesisitiza watu kukutanika kwa ajili yake! kama wewe hauoni huo umuhimu, sawa, unapingana na neno la muumba wako, mimi hainisumbui. Na kama wewe unaona watu kutoa sadaka kanisani ni vibaya..tuko palepale...unapingana na neno la muumba wako alisema tupeleke dhabihu na sadaka nyumbani mwake ili kiwepo chakula, soma kitabu cha malaki in Bible kama unayo. Na kama inakuuma sana wachungaji kuwa na mafanikio...na wewe anzisha kanisa...watapatikana mazombie wa kukuletea sadaka ununue chopa. ila sikutishi, nakuhakikishia 100%, yaja siku utakayotambua umuhimu wa ibada, ambazo leo unaita ujinga!
 
Zombie wewe angalia usije ukashindwakuwaachia wanao urithi kwa kuendekeza u-zombie ... Mungu amekupa akili ili ujitambue ... Mtu analamba wake za watu, anakula anasa kwenye chopper.... ninyi mnaendelea kumjazia sadaka as if hamjui kuwa kuna watoto yatima, kuna wazee na wasiojiweza... Kiasi unachokitoa kwa siku hapo kwa Gwajima kitumie kumsomesha motto mmoja tu na Bwana Mungu wako atakubariki sana ..
 
hao maaskofu wengine walipewa uaskofu na nani? si na binadamu!? tena kwa taratibu zilizowekwa na binadamu. yaan kulikuwa na wa kwanza aliyeanzisha hiyo kitu! Mungu hajawahi kushuka akampa mtu uaskofu, ni taratibu za duniani. au kwa kuwa unakosali taratibu zilianzishwa na wazungu zamani kabla hujazaliwa ndo unaona big deal!! halafu pia, wewe huko kwa hao wanaolawiti vitoto vinavyotumikia kanisani unakosali...hutoagi sadaka? so unaliwa? maana kama kutoa sadaka kila muumini wa popote hutoa sadaka anaposali, lakini walokole kwa kuwa tunasali makanisa ambayo viongozi wake wa juu ni wa-TZ wenzetu ndo mnaona tunaliwa? nyie kwa kuwa waanzilishi ni wazungu tena msiowajua ndo hamliwi?? kuna nini kwenye kichwa chako? ni ubongo kweli??
Wewe hujitambui kuwa unaliwa! Na ndiyo tatizo la walokole. Huyo Gwajima uaskofu alimpa nani? Anaamka anjiita askofu, mtume, nabii and the like!
 

Usipende kufatafata mambo ya kiroho, kama huna dini wewe ukabudu mwembe. Hayo yote yanakuhusu nini? Weka na matumizi, na lunch ya gwajima, nguo za ndani, salon ya mke wake, nk, nk.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nami Nitafute eneo Zurich and Kwa biashara
 
Ngoj nikaanze kumtega km mambo yenyw ndo hyo akuuu ngj nijitangulize mie..
Humu watu mnaburudisha wkt mwngne duuuh kweeeli jf...
 
Watu elfu 70? Mnh haiwezekani, labda useme watu elf 7. Elfu 70 ni idadi kubwa sana. All in all kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake, mjini mipango. Mtoa mada na wewe fanya michakato ukamate hela, huyu jamaa alishafanikiwa kivyake.
 
Unamjua Mungu?...acha unafiki! siishi kwa kufata story za vijiweni, kwenye masaloon na magazeti ya udaku! hizo tuhuma hazina hata prove yoyote so haziwezi kunifanya nimtukane Gwajima. And soon nitahamia kanisani kwake coz nimemfatilia sana na nimeridhika kuwa ni mtumishi wa Mungu tena jasiri! na nimehudhuria baadhi ya ibada zake nikabarikiwa sana. Na kama issue ni utakatifu wa viongozi..then mbona hujahama unapoabudu..viongozi wako wana kashfa dunia nzima ya kulawiti watoto wanaotumikia kanisani! kiasi kwamba marehemu papa John Paulo 11, aliwahi kukiri hilo tatizo! je, mbona hujahama kanisa? au kwako sio issue? kuniita mm zombie sio issue coz it can't change anything! bt kusema ibada ni ujinga...UTAVUNA TU!
 
Kumbe ndo maana ana hammer, helkopta, bungalow, ........ na account nono!

Je amejenga shule ngapi?, hospitali, nyumba za watoto yatima, maskini anawasidiaje? Kwanini watu wengi hawajiulizi mambo haya?
 
Zombie ni Zombie tu... endeleza U-Zombie wako uone kama wanao watarithi chochote kutoka kwako...

 
Hahahhahaa! Mbona huna jipya…avoid repetition! Kiburi cha uzima kinakusumbua, while hujui one second ahead utakuwa kwenye hali gani!! Utanyooka tu utakapoanza kuvuna matunda ya mdomo wako! kuhusu wanangu...nimeshawaandalia kabla hata ya kuwapata! wewe fedha zako kazana kuzipeleka kwenye madanguro na vilabu vya gongo...mavuna yapo. napenda sana andiko lisemalo 'kila mtu atavuna alichopanda' yan sio hadi ufe..hapahapa duniani! mwanaume mzima kazi kushadadia umbea, na wanawake tufanyaje sasa! aibu zako!
Zombie ni Zombie tu... endeleza U-Zombie wako uone kama wanao watarithi chochote kutoka kwako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…