lake Ngonsi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 48
Hapa ndio huwa hawajiulizi zipo biashara unaweza uza laki na sitini na ukawa faida yako ni kiduchu sana.......sasa huu upande haujamulikwa.Ninachojiuliza ni
kwanini TRA wanakadiria kodi kutoka kwenye mtaji na sio faida?
Kinachotakiwa kulipiwa kodi ni faida sio mtaji
Mauzo ya 160+ faida yake ni Tsh ngapi kwa siku na kwa mwaka?
Sheria sasa ni only 3.5% lakini in real ni kubwa sana ukilinganisha na mwaka uliopita.Ni kweli wastani wako ni laki na 65 kwa siku?
Sijaangalia kikokotoo cha mwaka huu lakini hakitapisha sana na hii hesabu hapa.
165,000 × 28 ( wastani mauzo kwa mwezi)
Hii ni sawa na 4,620,000/=
4,620,000 × 12 (wastani mauzo kwa mwaka) sawa na 55,440,000/=
Kikokotoo kinasema :-
Kama mauzo yako yanazidi mil 14, then kodi ni laki nne na nusu jumlisha 3% ya kiasi kilichozidi mil 14, yaani:-
450,000 + (3% of (55,440,000-14,000,000))
450,000 + (3% of (41,440,000))
450,000 + (1,243,200)
1,693,200
Na ukiendelea hivi, mwakani lazima uingie VAT.
Zingatia neno wastani wa mauzo.
Kama ni kweli wastani wako ni huo uliosema then kodi yako ni milioni moja laki sita tisini na tatu na mia mbili.
Ndio maana watu wanakwepa kutoa risiti.
For that caseSheria sasa ni only 3.5% lakini in real ni kubwa sana ukilinganisha na mwaka uliopita.
Mkuu maelezo yako yanakufunga wakipiga mahesabu Kodi sahihi ni hyo milion 2...!! Ilitakiwa uwakaze kamba tangu mwanzo , sema mtiti unakuja Duka wanalijuaNaombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji.
Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na baada ya kujibu maswali na kukagua mashine ya EFD akanikadiria laki sita kwa mwaka kama kodi. Baada ya hapo yale makadirio yakapelekwa kwa meneja, meneja akakataa akasena natakiwa kulipa milion mbili. Yaani hataki tena mjadala zaidi anasema kama utashindwa kulipa basi utaandika barua.
Wastani wa mauzo Kwa siku ni Tshs 165,000/-..... na nikimuuliza umetumia Njia gani anasema duka lako ni maarufu hiyo utalipa tu...
Naombeni msaada wa mawazo, na kama Kuna mtalaam humu aniambie kama ipo sawa hiyo milion mbili au nifanyeje ili anielewe. Na kwanini amekataa makadirio ya mtendaji/ofisa wake?
Au Kuna vita hapo? Maana duka lenyewe Lina miezi 8 tu tangu kuanza.
Mwananchi wa kawaida ninayetafuta kutoka lkn naona kama faida yote itaoshia kwenye Kodi.
Naombeni ushauri wanazuoni wazalendo
Umekokotoa vizuri sana, sasa hapo faida ya mfanyabiashara ndio imepigiwa hesabu au ni mtaji? Vip kuhusu matumizi na kodi ya pango, hata kama faida yote kwa mwaka ni 10% ya mauzo basi utakuwa unaifanyia kazi TRA, kodi kubwa sana hiyoNi kweli wastani wako ni laki na 65 kwa siku?
Sijaangalia kikokotoo cha mwaka huu lakini hakitapisha sana na hii hesabu hapa.
165,000 × 28 ( wastani mauzo kwa mwezi)
Hii ni sawa na 4,620,000/=
4,620,000 × 12 (wastani mauzo kwa mwaka) sawa na 55,440,000/=
Kikokotoo kinasema :-
Kama mauzo yako yanazidi mil 14, then kodi ni laki nne na nusu jumlisha 3% ya kiasi kilichozidi mil 14, yaani:-
450,000 + (3% of (55,440,000-14,000,000))
450,000 + (3% of (41,440,000))
450,000 + (1,243,200)
1,693,200
Na ukiendelea hivi, mwakani lazima uingie VAT.
Zingatia neno wastani wa mauzo.
Kama ni kweli wastani wako ni huo uliosema then kodi yako ni milioni moja laki sita tisini na tatu na mia mbili.
Ndio maana watu wanakwepa kutoa risiti.
Mimi nahitaji kueleweshwa jambo....Ni kweli wastani wako ni laki na 65 kwa siku?
Sijaangalia kikokotoo cha mwaka huu lakini hakitapisha sana na hii hesabu hapa.
165,000 × 28 ( wastani mauzo kwa mwezi)
Hii ni sawa na 4,620,000/=
4,620,000 × 12 (wastani mauzo kwa mwaka) sawa na 55,440,000/=
Kikokotoo kinasema :-
Kama mauzo yako yanazidi mil 14, then kodi ni laki nne na nusu jumlisha 3% ya kiasi kilichozidi mil 14, yaani:-
450,000 + (3% of (55,440,000-14,000,000))
450,000 + (3% of (41,440,000))
450,000 + (1,243,200)
1,693,200
Na ukiendelea hivi, mwakani lazima uingie VAT.
Zingatia neno wastani wa mauzo.
Kama ni kweli wastani wako ni huo uliosema then kodi yako ni milioni moja laki sita tisini na tatu na mia mbili.
Ndio maana watu wanakwepa kutoa risiti.
Limekua swali la wengi kwa kipindi kirefu.Mimi nahitaji kueleweshwa jambo....
Kwanini TRA wanahesabu mtaji/mauzo ya siku na isiwe faida ya siku?
Wananichosha TRA....
Huduma zao sio rafiki hasa kwa tabaka la chini....