Makada wa CHADEMA na makada wa CCM

Makada wa CHADEMA na makada wa CCM

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
3,428
Reaction score
2,613
Kwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo!

Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono, mitazamo na sera za CCM, lakini kila ninapoingia mitandaoni naiona CHADEMA zaidi ikitangazwa kwa staili tofauti kutoka pande zote yaani CCM na CHADEMA, my conclution nimegundua kuna makamanda wa CHADEMA na makada wa CHADEMA, kutegemea na jinsi mtu husika anavyo wasilisha maada yake kuhusu CHADEMA.

Makamanda, tuwapendeni hawa ndugu zetu makada wa CHADEMA.
 
Makamanda, tuwapendeni hawa ndugu zetu makada wa CHADEMA.​

Mkuu hata wakina dada HAMY-D na Ritz wote wamekuwa mbele kutetea na kuboresha sera za Chadema badala ya Kutetea za Chama chao lakini sio makosa yao kwasababu Nape aliwaokota huko kariakoo akawapa semina ya kuingia humu JF basi
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, hawa ni makada wa CHADEMA waaminifu, at the end o the day wanaweza kuwa makamanda, nadhani ukiwaamsha ndotoni neno la kwanza kutamka litakuwa CHADEMA!
 
hahahahahahhahahahahahahah Umenivunja Mbavu Kwa Kicheko Kamanda........yaaaaaan Ni Kweli Tupu Hao Ni Makada Wa Chadema!
 
Kwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo!

Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono, mitazamo na sera za CCM, lakini kila ninapoingia mitandaoni naiona CHADEMA zaidi ikitangazwa kwa staili tofauti kutoka pande zote yaani CCM na CHADEMA, my conclution nimegundua kuna makamanda wa CHADEMA na makada wa CHADEMA, kutegemea na jinsi mtu husika anavyo wasilisha maada yake kuhusu CHADEMA.

Makamanda, tuwapendeni hawa ndugu zetu makada wa CHADEMA.
sijakuelewa kajipange au nipange nikuelewe
 
Mkuu hata wakina dada HAMY-D na Ritz wote wamekuwa mbele kutetea na kuboresha sera za Chadema badala ya Kutetea za Chama chao lakini sio makosa yao kwasababu Nape aliwaokota huko kariakoo akawapa semina ya kuingia humu JF basi
Huyu Ritz naona kidogo akili inalejea kwenye njia yake au Nape amepunguza huduma kwa hiyo yuko kwenye mgomo baridi...
 
sijakuelewa kajipange au nipange nikuelewe
Most of the time badala ya keneza sera zao maProCCM wanachowaza ni CHADEMA, CHADEMA, so CHADEMA wanaongea habari za CHADEMA na CCM wamekazania habari za CHADEMA!
 
Chadema mwendo mdundo.tena imevunja rekodi ya vyama vya upinzani.
 
week end,post zinakua kama povu la kwenye glass.
 
Chadema mwendo mdundo.tena imevunja rekodi ya vyama vya upinzani.

1 sijawai kuona chama cha watu waoga kama hichi.mara ngapi polisi wanawatimua.mwz 2010 kwenye harakati zenu pale jiji, kilipotifuka sijaona hata mende mmoja aliebaki.
ubungo juzi watu wamekimbiza kama bweha.
lakini rudi enzi ya cuf polisi wanayakumbuka mafuso.
2 mnabahati rais aliopo ni mtu muungwana.kama angekuwe mzee wa uwalaza mngetosha kwenye tenga.
 
hizi ni jazba sasa.
 
hizi ni jazba sasa.

mmeamka na siasa za bongo flever. huko ndo kuvunja recod.
1 pale hai yupo dj mzee wa b....s
2 pale mbeya yupo mzee wa mistali
wafuasi wamekuwa washabiki hata hawasikii la mtoa adhana wala mkim swala.
 
ndo nini hiki??
 
Back
Top Bottom