Makada wa CHADEMA na makada wa CCM

Makada wa CHADEMA na makada wa CCM

Today
WADAU NIMEPITIA LEO GAZETI LA
NYASA TIMES LA HUKO MALAWI
NIKAKUTA JAMAA WANALAANI
HOTUBA YA JK ETI ANATAKA
KUWAPOKONYA ZIWA LAO KWA
NGUVU HIVYO WANASHAURI JESHI
LAO LILINDE NCHI YAO KWA SABABU
WANATUMIA HELA NYINGI
KUNUNUA SILAHA ZA KUWALINDA.
SOMA MWENYEWE HAPA:
NDUGU ZANGU WATANZANIA, LICHA
YA UTOFAUTI WETU WA KISIASA NA
KIFIKRA, NAOMBA KATIKA MASUALA
YANAYOHUSU KULINDA NCHI YETU
DHIDI YA UCHOKOZI WOWOTE TUWE
KITU KIMOJA. MIMI SIDHANI
KWAMBA HOTUBA YA KIKWETE YA
JUZI ILITAJA NCHI YOYOTE NA WALA
HAIKUWA NA UBAYA WOWOTE.
HATA USHAURI ALIOMPA HUYO
JAMAA ANAYEPANGA KUMHIT
ULIKUWA MZURI WALA HAUKUWA
WA KUCHOKOZA NA KULIKUWA NA
UWEZEKANO WA KUPOKELEWA AU
KUKATALIWA. MI NAMSHAURI JK NA
SERIKALI YAKE WAANZE KUTAFAKARI
MARA 100 JINSI YA KUONGEZA
BAJETI KWA JESHI LETU IKIWA NI
PAMOJA NA KUNUNUA ZANA BORA
ZA KISASA. HATA KAMA TUNAWEZA
TUSIINGIE VITANI LAKINI DALILI HIZI
SIYO NZURI KWA AMANI YA NCHI
YETU. LISEMWALO LIPO KAMA
HALIPO LINAKUJA. WATANZANIA
TUWE MAKINI.
××××××××××××××××
Tanzania fire must be met with fire
on Lake Malawi row: Editorial
July 27, 2013
Tanzania is sabre-rattling and
palpably and loudly beating the
drums of war against peaceful
Malawi over our jewel in the
crown–Lake Malawi and this is
beingchampioned by no lesser
mortal than President Jikaya
Kikwete-himself.
The occasion could not have been
grander to whip up emotions and
put nationalistic energies on a
collision course for war against
Malawi over Lake Malawi than the
celebration of Tanzania hero’s day-
on Thursday-when Kikwete told his
compatriots that his armed forces
are ready to protect the country
against any foreign threats.
But-Kikwete’s outbursts and
intimidation, coming at a time
when Sadc mediation, led by
former Mozambican president
Joachim Chissano and former South
African president Thabo Mbeki,
should not be come as a surprise.
The warmongering is a simply a
sign of the fact that-Tanzania
knows it has no chance in hell of
getting even an inch of Lake
Malawi if a more civilised way of
dealing with the matter is
employed-hence the empty threats
of using force to get half of our lake
even when historical treaties
governing the border say
otherwise.
But as Chinua Achebe once
intimated,-when a man threatens
to defecate or indeed defecates
into your house, you do not smile
at him but simply break his neck.-
Tanzania is threatening to do more
and it is to take half of the house
by force of violence.
But we, at-Nyasa Times, say this
naked aggression should not be
allowed to stand unchallenged and
fire must be met with fire.
As so many sober-minded
commentators have argued times
without number, Malawi got a raw
deal from the 1884-85 Berlin
Conference during which European
powers decided to partition Africa
and its resources among
themselves.
The country is simply grotesquely
squeezed in the hand of some
Colossus that are its neighbours
that it cannot breathe through the
unfair boundaries imposed on its
people by European rulers that
even separated families.
Yet despite this clear historical
imbalance and injustice, Malawi has
remained meek and peaceful
throughout the years when the
right course of action would have
been attempts to destabilise its
neighbours with a view to create
more living space for its people.
But it seems this has been taken as
a weakness by Tanzania and it has
decided to throw its weight around
to bully Malawi into submission by
use of its so called military might to
give up what truly belongs to us—
Lake Malawi.
It is in this regard that we call upon
our leaders in government for once
to rise up and deal with this naked
aggression once and for all.
We spend billions of kwachas every
year running and equipping our
army with modern hardware.
Perhaps time has come for that
investment to be put to productive
use.
Army Commander General Henry
Odillo is on record to have assured
Malawians to sleep in peace over
Lake Malawi, saying his boys and
girls are ready to defend the
territorial integrity of the nation.To
him, we say time has come to
make good of that assurance to
Malawians.
Lake Malawi belongs to Malawi in
its whole entirely and this is backed
by historical records that emanated
from the Partition of Africa. It is our
only crown in jewel and no amount
of intimidation should be
entertained to give it up and satisfy
dangerous ambitions of
bloodthirsty leaders like Kikwete
who thinks his country’s triumph
over a twisted mind like Ugandan
Idi Amini many years ago should be
used as a launch pad for aggression
against Malawi over what truly
belong to her.
The die is cast and the country
must fight to the bitter end.
Tanzanian fire must be met with
fire.
 
Hii kitu nimeisoma kama sijaelewa hivi, au KINANA zinanisumbua au? ni comment kesho.
 
Most of the time badala ya keneza sera zao maProCCM wanachowaza ni CHADEMA, CHADEMA, so CHADEMA wanaongea habari za CHADEMA na CCM wamekazania habari za CHADEMA!
ok unajumbe mzuri na mimi naungana na wewe bt nenda ukaweke hii sehemu kwenye main topic yako
 
Tuliza akili utamwelewa tu kamanda...
Nina mabo mengi ya kuumizia kichwa ninapo yasoma so siwezi kuanza kuumiza kichwa kwa swala kama hili wakati anaye lijua yupo, ko KAMANDA jalibu usiwe mtu wa kupoteza ngivu 4 nothing
\
 
Back
Top Bottom