Makada wa CCM waibua mjadala

Makada wa CCM waibua mjadala

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Ni baada ya Teuzi za juzi zinapingwa

IMG-20160707-WA0032.jpg
 
Hahahahaha CCM Mbele kwa Mbele..... Huu wimbo hauna mvuto sana aiseee. Kwanini hauimbwi tena?
 
Katika hali hii ya uteuzi wa kulipa fadhila, ni ngumu sana kuelewa mamlaka za uteuzi na kile wanachohubiri. Inasikitisha sana kuwa ajira zimesitishwa ila wengine wanaendelea kuajiriwa. DAS kisheria sio ajira za kisiasa, ile ni permanent and pensionable employment. Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".
 
Hasara za kukurupuka ni nyingi kuliko faida
 
hili nalo litapita!!mlianza wakuu wa wilaya ila sasa kimya!! uzuri JPM huwa hasikiliz hyo mijadala yenu, na kama anaisikiaga baai huwa anawapuuza!!
 
Wizara ya Utumishi imeshindwa kabisa kumshauri Rais!
 
Ccm ilisha jifia siku nyingi, shukrani kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".
What future is ahead of us?
 
Hivi hao ma DAS wameteuliwa na Rais au Manejimenti ya Utumishi wa Umma?
 
Hayo si maamuzi ya rais kwani Hana Shida gani
Pamoja na kwamba jibu lako ni jepesi lakin kumbuka wanawatumikia wananchi na kama wata perform chini ya kiwango wenye shida ni wananchi sio rais wala wateule wake,tafakari na hilo pia usije ukawa wa ndiyo mzee hata kama msumari unapigiliwa kwenye kidonda na maumivu unayasikia.
 
List of shame walikurupuka kuiweka 2007 na wakakurupuka kuitoa 2015 kwny Tovuti ya Chama.
Reference ya utawala wa nchi yetu ni Chadema au ni akili zako ndogo tu? Please nisaidie
 
Back
Top Bottom