Watu bwana; mkiambiwa uzoefu miaka 20 mnalalamika, wakiajiriwa wasio na uzoefu bado mnalalamika. Lipi ni lipi wandugu?Katika hali hii ya uteuzi wa kulipa fadhila, ni ngumu sana kuelewa mamlaka za uteuzi na kile wanachohubiri. Inasikitisha sana kuwa ajira zimesitishwa ila wengine wanaendelea kuajiriwa. DAS kisheria sio ajira za kisiasa, ile ni permanent and pensionable employment. Inahitaji watu wenye uzoefu na ambao ni watumishi wa umma tayari, ila ukiangalia hawa walioteuliwa kuna wengine hawajawahi kuajiriwa popote na hii ni ajira yao za kwanza!!!!!!! Nikitazama naona "pure darkness".