Makada wa CCM waibua mjadala

You are right! Nilishangaa sana kuona utumishi wakihitaji CV za hao wateule kupelekwa utumishi baada ya kuteuliwa. Ndo nilipojiuliza inawezekanaje muajiri kumuajiri MTU kabla hajapitia CV yake? Nafikiri hii inatokea tz tu.
Ndungu yangu kiufupi tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo kila upuuz unawezekana.. So usishangae
 
Hata Mkulu ni Chemist lakini anafanya kazi ya Administration and Political Management. Acheni vijana wa Jakaya wapige kazi. Watapata JD huko huko na watajifunza. Nyie jiandaeni kwa J23
 
Nilianza kumshangaa alivyoanza kukomaa na upinzani baada afanye kazi wapinzani wakose hoja pale nilijua amna kitu
 
Back
Top Bottom