Kuingia S.A sio kigezo cha kuwa juu kwa ushusu coz' wapinzani wa Kagame si kwamba wanaishi mafichoni kule S.A. Yo don't need a good spy to assassinate someone you know where s/he is(living); all you need is just a good sniper...you'll need a good/best spy only if the target's location/residence is anonymous.Mashushu wanawake toka Rwanda kukamatwa Dodoma, hiyo si kweli leo foolish day
Kumbuka Rwanda ushushu uko juu sana wanaingia hadi Afrika kusini kutekeleza malengo Yao,
Eti TISS wapo fit? Hahaha labda kwa intelligence ya kuwabana CUF na CDM..Katika usalama wa nchi TISS wameshuka sana..mpaka Twiga anapandishwa ndege unasema Kuna TISS? Tembo wote wanaisha unasema kuna TISS..watu aanasafirisha dhahabu almasi nad Tanzanite nje bila serikali kupata kipato kuna TISS? Madawa wa kulevya yamesambaa tanzania utafikiri tupo Colombia ama Mexico kuna TISS? Watu wang'olewa meno kutobolewa macho bila wahusika kupatikana kuna TISS? Watu wanaiba hela za nchi wanaficha nje ya nchi kiasi cha kutisha tuna TISS? Mali za selikali zinaibiwa wazi wazi tuna TISS? Basi kama TISS haifanyi yote hayo kazi yao ni nini?
Kagamephobia ya watanzania imefanya wakiona hata jani la mti wanasema limetumwa na Kagame!
Kachero anapomkachero kachero mwenzake... shoti lazima itokee...
Tusikubali kumalizia akili zote kwenye katiba. Tusisahau ulinzi wa taifa letu. Tanzania kwanza