Makachero wa Kagame mbaroni Dodoma

Hawa makachero wetu wangekua makini hivyo kuwakamata majangili tungekua na tembo wengi mpaka wengine tungewatumia kubebea mizigo kama punda
 
Kuna nn gazeti la Jamhuri na Rwanda na Issue za Kagame? mbona kila siku ni rwandaaaaa, kagameeeeeee, why?
 
mnataka yatokee kama ya mombasa muanze kulaumu selekali haifanyi kazi?kuna watu wako kwa ajili ya kubeza tu,u can not develop strong mind in that way!truth will remain truth even if no 1 c t.
 
Dodoma kuna nini hadi kufanyike ukachero!....hao kina Mtikila na Mama Rwakatare?

Kweli Mazimwi Niwengi,hivi Unacheza Nakagame,ambaye Kuwepo Kwake Kwenye East Africa,east Africa Imebaki Jina Tu Kaiua,nania Yake Kuua Wanaompinga.Nahis Naww Ni Mtusi.Tunakujua.
 
Mashushu wanawake toka Rwanda kukamatwa Dodoma, hiyo si kweli leo foolish day
Kumbuka Rwanda ushushu uko juu sana wanaingia hadi Afrika kusini kutekeleza malengo Yao,
 
Kweli Mazimwi Niwengi,hivi Unacheza Nakagame,ambaye Kuwepo Kwake Kwenye East Africa,east Africa Imebaki Jina Tu Kaiua,nania Yake Kuua Wanaompinga.Nahis Naww Ni Mtusi.Tunakujua.

kagame hana lolote na hawezi kuitisha tanzania..nyinyi msiojua system ya nchi hii ndio mnapinga kila kitu na kumsifia kagame....
 
Watz tz ni nchi yetu tuilinde wenyewe

Tulia basi tumekusikia, tunachambua sasa juu ya uimara wa nchi yetu.

kutoka povu kwa post nyingi hapa sielewi mantiki yake.

Serikar yetu hii imekusikia.
 
Ngoja kwanza siku ya W.A.P.U.M.B.A.VU ipite halafu nitarudi tena kuicheki hii nyuzi kama itaendelea kuwepo au la!!!
 
kagame hana lolote na hawezi kuitisha tanzania..nyinyi msiojua system ya nchi hii ndio mnapinga kila kitu na kumsifia kagame....

Tuambie basi wewe unayejua system ya Tanzania, eeh kunani kuko systemuni ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…