Makabila zaidi ya 128 yanayopatikana Tanzania Bara


Makabila
 

Wameru
 
Jariir, Gosha, na washunguli nao wanaishi somalia na kenya waliondoka mwaka 1700 watarudi ongezeni na hao
 
hawa jamaa ni majiran zetu nilisimuliwa na babu yangu waliwah kumwibia ng'ombe zizi lote miaka ya nyuma, yaan wakija kuiba cku hyo utalala hadi saa sita alasiri unakuta zizin kweupe peee!

Ha!ha!ha!. Kuna dawa wanatumia si bure.

Halafu wakija kuiba ng'ombe wanakuja na chumvi nyingi wanachofanya ni kuwalambisha ng'ombe. Basi ngo'mbe akishalambishwa chumvi hatoi sauti yoyote anaweza hata kupitishwa dirishani ulipolala usimsikie.

Huu mchezo hata wamasai wanaufanya sana.
 
Kwa maelezo ya Wamaasai ambao huwaogopa sana Wabarbaig wakawaita Mang'ati

Nimeelewa somo hapa mkuu kumbe ndio maana hawa jamaa hawali sahani moja. Ila inaonyesha hawa mang'ati ni watu hatari sana wanapokua kwenye himaya yao.
 
Nimeelewa somo hapa mkuu kumbe ndio maana hawa jamaa hawali sahani moja. Ila inaonyesha hawa mang'ati ni watu hatari sana wanapokua kwenye himaya yao.

Wamewasumbua sana majiran zao wana mtindo akikutembelea kwako anangalia lile dume la ng'ombe kubwa halaf anajidai anakuuliza umuuzie ili apate nafas ya kumgusa na kifimbo cha kuchungia baada ya hapo mchezo umeisha wakija ucku yule ngombe ndo atawaongoza wenzake kutoka zizin!
 

Basi hawa jamaa ni zaidi ya hatari. Me hua nawafahamu kwa mtindo wao wa kutembea na fimbo muda wote.
 
Nawashukuru sana wote waliochangia mada.nakiri kujifunza mengi katika idadi ya makabila ya Tanzania.kitu kimoja nilichojifunza kuna makabila machache makubwa ambayo yametajwa na wanajamii lakini kuna koo zinachukuliwa kama makabila kitu ambacho hakina ukweli.Kuna makabila yanapatikana nji ya mipaka ya tanzania lakini baadhi ya wanajamii wameyataja,mfano; Wajaluo,wakurya,wameru,wamasai(kenya). wamakonde,(mozambique), wamatengo(malawi) wawemba wafipa(Zambia),wabembe,wabwaali,(DRC),wahutu,watutsi wanangaza(Rwanda/Burundi) wahaya(uganda). Nia yangu sio kuanzisha umimi au ukabila, nataka kujifunza tu na forum ndio mahali pake nafikiri. Nawasilisha.
 
Wewe wamasai ni watu ambao wapo karibia nchi nane afrika ni kabila ambalo ni la kuhamahama so lijue hilo
 
Daah..! nashukuru warangi nasi tumo kwenye hiyo Orodha. Ila ukabila haufai kiukweli.., tupige kufuli uzi kama vipi..
 
Uzi mtamu sana huu, japo ukabila haufai kabisa

Sijawaona wasubi, wasimbiti, wasweta, waruri wapangwa na makabila mengine
 
Umesahau kabila la wakamba japo asili yao kutoka Kenya ila TZ tupo wengi wilaya kilosa sasa Gairo wapo Arusha, Tanga n.k ukitaka na vijiji nitakutajia
 
Hii orodha ni ya makabila ya asili ya KiTanganyika tu? Mbona sioni Wahindi, baniani, waajemi, waburushi, Waarabu,etc
 
Ingekuwa vizuri kama tutakuwa na ramani inayoonyesha haya makabila yalipo kwa sasa (Mikoa au wilaya).
 
Kwa mkoa wa mara makabila aliyoataja hata nusu haijafika, mkoa wa mara ndo unaongoka kwa kuwa na makabila mengi

Pia sijawaona wanyambo

Waruli
Waisenye
Wanata
Wataturu
Wajaluo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…